Jina langu la ujanani nilikuwa naitwa KAMCHAPE au ZUNGULUKEE...........Duh Mtambuzi umekua KALUBANDIKA lakini afadhali wewe una mama Ngina na watoto.Halafu duh kakuchuana na mzigo hukula,huyo lazima akutie mawazo mengi pole sana.
Heee ulisema hutaki comments, sorry nilikuwa nakupa pole
Dah!mama angu ww acha tu,Lol. cantalisia ona vituko vya baba yako.
ha ha ha ha yaani nimejikuta naangua kicheko kwa sauti..duniani kuna mengi sawa sawa na bahari ..Mtambuzi mmh.