Yule Shangingi akanichuna kifedhuli..!

Duh Mtambuzi umekua KALUBANDIKA lakini afadhali wewe una mama Ngina na watoto.Halafu duh kakuchuana na mzigo hukula,huyo lazima akutie mawazo mengi pole sana.

Heee ulisema hutaki comments, sorry nilikuwa nakupa pole
 
Siku nyingine muite atajua mnaenda five star then mbwage kwa mtogole!!umsikilizie pumzi yake!!
Sitaki hata kusikia jina lake..............na tangu siku ile nimekuwa nikiwachukia Mabinti wenye jina la SANIAH!
 
Duh Mtambuzi umekua KALUBANDIKA lakini afadhali wewe una mama Ngina na watoto.Halafu duh kakuchuana na mzigo hukula,huyo lazima akutie mawazo mengi pole sana.

Heee ulisema hutaki comments, sorry nilikuwa nakupa pole
Jina langu la ujanani nilikuwa naitwa KAMCHAPE au ZUNGULUKEE...........
 
Lol. cantalisia ona vituko vya baba yako.
Dah!mama angu ww acha tu,
Hapa sina baba walah lol!
Kilichobaki hapa naona uzee unampeleka vibaya ngoja tufanye kukakorofisha kale ka computa kake huu umbea utaishia kwenye vikao vya kahawa!
 
Hahaha hahahah hahahah,!
Dah! baba hivi haya mambo hata mama huwa unamhadithia au unakuja kuruumbua huku tu?

Tutaonana nyumbani.
 
Mtambuziiiiiii u hv made my day.. Siku mara atakukuta unagombania daladala za mbagala na mnakutana ndani(yeye hana cha kupanda taxi wala wewe huna cha consultation kihansi wa mtera )
 
Pongezi kwa bidada! Kungekuwa Na wanawake wa jinsi hii 10 tu bongo, familia zetu zingeendelea. Wadada ushauri mkikutana Na mijitu Kama mtambazu hii ni dawa Yao. Komoa kwelikweli. Kesho harudi, wao wanajifanya kila wakinacho wanataka waonje.
 
Hao wanaitwa wakali wa town ... wanaishi mjini kifahari kwa kuchuna mazuzu tu. next time ukienda kuchukua mshahara make sure mama Ngina yupo pembeni, ili umpe chake kabisa ...then nenda ukachunwe
 
ha ha ha ha yaani nimejikuta naangua kicheko kwa sauti..duniani kuna mengi sawa sawa na bahari ..Mtambuzi mmh.

Kuna papa na nyangumi tena wale wa hatariii hahahaaa nimecheka na mie kwa sauti Mtambuzi huishi vituko lol. .saizo hata mkeo angetokea akuzabe shavu la kushoto ungegeuza na la kulia bila kujua amejua au lah! hahahaaaa
 
Hah! hah! haaaa! Ulifanya kosa kujipa ujiko. Thanks kwa kulifanyia kazi ombi langu nililotoa katika story ya Mwivano.
 
Huyo dada kafanya jambo la maana kweli yani! Wanaume kama nyie ndo dawa yenu!chuna vizuri kabisa mpaka ubaki na nauli ya daladala tu!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom