Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Jamaa alimkuta ulimboka akiwa hoi saa 12 asubuhi kwenye msitu mnene akaanza kumsaidia akiwa ametapakaa damu na alikuwa hamjui. Huyu ahojiwe vizuri anajua mpango mzima.
Hahaha sasa wewe unafikiri alikuwa anatokea wapi?
Mabwepande pale watu wanaishi ni makazi yao. Sasa kama alitoka msikitini, shambani, ulinzi shirikishi, nyumba ndogo, au alikuwa anaelekea kibaruani huku town it is non of our god*** business.