Yuko wapi Wilson Mkama?

Kuweni na Subira, mlipiga kelele Mkapa haonenkani kwenye kampeni za JK, aliposimama jangwani Tanzania yote ikatingishika, kwa sasa endeleeni na Nape kwanza maana inaonekana ndio size yenu. Hakuna haja ya kuuwa mende kwa kabati wakati malapa yanaweza kumaliza kazi.
 
Hivi yule Mzinzi alieshindwa Urais Mwaka 2010 yupo wapi,nasikia alipora Mke wa mtu anaishi kwa kujificha ficha? Atakua wapi sasa au kahamia Makao Makuu ya Kanisa Katoliki? Au atakua Karatu amejificha?
 
<br />
<br />
Hiyo njemba iligeuza HAWALA na kumuita MCHUMBA nasikia inajificha pande za Kurasini makao makuu ya TEC! Anaenda Ofsi za Chadema Usiku tu kuanzia saa 3!
 
Back
Top Bottom