Yuko wapi balozi Maharage?

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,119
1481396208043.jpg
Sijamuona sijamsikia muda mrefu hatimae leo nimeona mh amemuapisha mkuu mpya wa itifaki, kwa anayejua tafadhali
 
Mda mrefu mbona alishawekwa pembeni, alipoingia tu Mkulu. Wale wa mwanzo kufungasha virago. Mama aliyeapishwa alikuwa akiikaimu nafasi ile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom