Balozi wa Palestina ameenda misikitini kueneza chuki, amevuka mipaka atimuliwe

chipa GM

JF-Expert Member
Jan 21, 2012
1,769
2,858
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata

View: https://youtu.be/auOKnvgArZ8?si=N9EDTfFnNgqYzqQ6

Balozi wa Palestina badala ya kwenda wizara ya mambo ya nje kutafuta kuungwa mkono na Tanzania anaamua kuugawa umma wa waTanzania kwa kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono na sehemu ya jamii inayounda Tanzania.

Video hapa chini ikionesha Mh. Balozi Hamdi Mansour Abuali akiwa anafanya shughuli zinazohatarisha usalama wq nchi kinyume na mikataba ya Vienna protocol kuhusu kazi za balozi

Huyu balozi aitwe wizara ya mambo ya nje kuonywa kuacha kukosoa sera za mahusiano kimataifa za Tanzania kutoingilia upande wowote, aache kutaka kuchochea maandamano.

Balozi huyu wa Palestina hajui mipaka yake ya kidiplomasia, muda mwingi anataka kutuamrisha kufanya mambo yasiyokwenda na sera za nchi yetu kimataifa za diplomasia ya kiuchumi, watalii waje wengi kupitia Tanzania Royal Tour, wawekezaji,

Anaweza kutimuliwa kutokana na mienendo yake isiyokuwa ya cheo cha balozi . Kule Chad balozi alitimuliwa kwa kufanya kazi sizizo za kibalozi.

Gov't of Chad orders Gordon Kricke to leave country within 48 hours for 'non-respect of diplomatic customs', ministry says.
 
Video ipo wapi sasa? Ila kwa kuwa namba moja ni Mujahideen hata fanywa lolote zaidi ya kuendelea kutudharau maana ilitakiwa afukuzwe tokana na mauti za watoto wetu ila akanyamaziwa na sasa anaruhusiwa kufanya atakalo. Eehh Mungu sijui kwanini ulimchukua Magufuli na kuingiza huyu mmama madarakani.
 
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata

analeta udini.. hafai

View: https://youtu.be/auOKnvgArZ8?si=N9EDTfFnNgqYzqQ6

Balozi wa Palestina badala ya kwenda wizara ya mambo ya nje kutafuta kuungwa mkono na Tanzania anaamua kuugawa umma wa waTanzania kwa kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono na sehemu ya jamii inayounda Tanzania.

Video hapa chini ikionesha Mh. Balozi Hamdi Mansour Abuali akiwa anafanya shughuli zinazohatarisha usalama wq nchi kinyume na mikataba ya Vienna protocol kuhusu kazi za balozi

Huyu balozi aitwe wizara ya mambo ya nje kuonywa kuacha kukosoa sera za mahusiano kimataifa za Tanzania kutoingilia upande wowote, aache kutaka kuchochea maandamano.

Balozi huyu wa Palestina hajui mipaka yake ya kidiplomasia, muda mwingi anataka kutuamrisha kufanya mambo yasiyokwenda na sera za nchi yetu kimataifa za diplomasia ya kiuchumi, watalii waje wengi kupitia Tanzania Royal Tour, wawekezaji,

Anaweza kutimuliwa kutokana na mienendo yake isiyokuwa ya cheo cha balozi . Kule Chad balozi alitimuliwa kwa kufanya kazi sizizo za kibalozi.

Gov't of Chad orders Gordon Kricke to leave country within 48 hours for 'non-respect of diplomatic customs', ministry says.

Alipo kwenda ndio sehemu sahihi kwa ndugu zake waislam tumemuelewa na tupo pamoja nae Allah atajibu kilio chetu no matter how long it could take..Ungesikiliza alichoongea kinawahusu waafrika sio waislaam.
 
Ma..aeee mtapata mabikra 72... Mmekosa elimu ndiyo maana mtwara na lindi maskini..
 
hahaha kwa nini wanatafsiri kwa kiswahili chetu? Kiswahili chetu ni kibantu 100% Afrikan na siyo na wala hakina uhusiano na uarabu …
 
Back
Top Bottom