Kamanda Sugu yuko wapi?

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
382
764
Muda mrefu umepita sijamsikia Kamanda Sugu akizungumzia suala la Mkataba wa Bandari. Je ni mgonjwa?. Ni vema tukajua Kamanda yuko wapi na hali yake ikoje?.
 
Sio Sugu tu kuna watu DP WORLD walijua wataropoka wakawafinyia chao mapemaaaa...

yani kuna maroporopo washakula mgao wanyamaze, sio sugu tu wapo wengi...

DP wakasahau kuna watu wengine wapo, ndio matokeo haya kuna makamanda wanapga kelele wengine kimyaa.
 
Muda mrefu umepita sijamsikia Kamanda Sugu akizungumzia suala la Mkataba wa Bandari. Je ni mgonjwa?. Ni vema tukajua Kamanda yuko wapi na hali yake ikoje?.

Sugu ukitaka kugonbana nae mtaje vibaya mama Samia.

Ni bibi wa binti yake.

1690023810525.png

1690023958195.png

Unatafuta uhasama na Sugu?
 
Muda mrefu umepita sijamsikia Kamanda Sugu akizungumzia suala la Mkataba wa Bandari. Je ni mgonjwa?. Ni vema tukajua Kamanda yuko wapi na hali yake ikoje?.
Jibu la alipo linaweza likawa lipo kwenye ufafanuzi huu hapa chini.

Wanasaisa (mathalani Wabunge) wana taswira tatu;
Mosi, kuna wenye taswira ya Kijimbo.
Hawa wakiwa bungeni unakuta michongo yao mingi inalenga masuala yahusuyo jimbo lao tu. Mifano ipo mingi ila mmojawao ni aliyekuwa M'bunge wa jimbo la Mikumi Mh Joseph Haule. Huyu muda mwingi alikuwa anaongelea jimbo lake tu.
Wakisipokuwa wabunge unakuta akili zao zinawaza ubunge tu, hata kama watakuwa wanasemea mambo ya kitaifa bado ukiwatizama utaona kwamba hawawazi chochote zaidi ya Ubunge.
Hapa mifano ipo mingi ila mtizame, G.Lema, Sugu, Msigwa na wengine wengi.

Pili, kuna wenye taswira ya kitaifa.
Hawa wawapo wabunge na hata wasipokuwa wabunge, hoja na mijadala yao zinahusu masuala ya kitaifa. Mfano Tundu Lissu, Mbowe, Mnyika n.k

Tatu, kuna wenye taswira ya Kijimbo na Kitaifa
Hawa wanaongelea jimbo na taifa.
Mfano John Heche, Mdee

Kwa hiyo ukimya wa Sugu ni sababu suala la bandari siyo la jimbo la Mbeya ambako yeye ana maslahi nako.

Ukweli ni kwamba wanasiasa wengi wa upinzani kwa sasa wanawaza ubunge tu, wapo wachache ambao unawaona kabisa wanawaza maslahi mapana ya Tanzania. Mtu kama John Heche na Tundu Lissu unaona kabisa kwamba hawa wanalipigania Taifa na siyo kuwaza ubunge wa 2025.

Ila kuna watu kama Lema, Msigwa, Sugu, Boniface Jacob na wengine wengi, wanachokiwaza ni ubunge wa 2025 tu.
 
Ha ha haaaa. Unajiona una akiliii
 
1690031524812.png

Si unaona hapo mtu na bibi yake wamevaa magauni matching matching.

Binti wa Sugu huyo. Halafu eti mijinga inauliza Sugu yuko wapi?
 
Jibu la alipo linaweza likawa lipo kwenye ufafanuzi huu hapa chini.

Wanasaisa (mathalani Wabunge) wana taswira tatu;
Mosi, kuna wenye taswira ya Kijimbo.
Hawa wakiwa bungeni unakuta michongo yao mingi inalenga masuala yahusuyo jimbo lao tu. Mifano ipo mingi ila mmojawao ni aliyekuwa M'bunge wa jimbo la Mikumi Mh Joseph Haule. Huyu muda mwingi alikuwa anaongelea jimbo lake tu.
Wakisipokuwa wabunge unakuta akili zao zinawaza ubunge tu, hata kama watakuwa wanasemea mambo ya kitaifa bado ukiwatizama utaona kwamba hawawazi chochote zaidi ya Ubunge.
Hapa mifano ipo mingi ila mtizame, G.Lema, Sugu, Msigwa na wengine wengi.

Pili, kuna wenye taswira ya kitaifa.
Hawa wawapo wabunge na hata wasipokuwa wabunge, hoja na mijadala yao zinahusu masuala ya kitaifa. Mfano Tundu Lissu, Mbowe, Mnyika n.k

Tatu, kuna wenye taswira ya Kijimbo na Kitaifa
Hawa wanaongelea jimbo na taifa.
Mfano John Heche, Mdee

Kwa hiyo ukimya wa Sugu ni sababu suala la bandari siyo la jimbo la Mbeya ambako yeye ana maslahi nako.

Ukweli ni kwamba wanasiasa wengi wa upinzani kwa sasa wanawaza ubunge tu, wapo wachache ambao unawaona kabisa wanawaza maslahi mapana ya Tanzania. Mtu kama John Heche na Tundu Lissu unaona kabisa kwamba hawa wanalipigania Taifa na siyo kuwaza ubunge wa 2025.

Ila kuna watu kama Lema, Msigwa, Sugu, Boniface Jacob na wengine wengi, wanachokiwaza ni ubunge wa 2025 tu.
Hasa Boniface ye anawaza Ubungo tu
 
Ila kuna watu kama Lema, Msigwa, Sugu, Boniface Jacob na wengine wengi, wanachokiwaza ni ubunge wa 2025 tu
Kuna majimbo 25 tu ambayo ameyatenga rais Samia kwa ajili ya upinzani (kwa mujibu wa za ndani kabisa toka kwenye meza ya maridhiano).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom