Yuko wapi Benson Kigaila wa CHADEMA?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,029
142,088
Huyu Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA upande wa Tanganyika mh Benson Kigaila hajasikika akimwaga cheche kama alivyozoeleka kwa muda mrefu

Yuko wapi huyu Mwamba?
 
Huyu Naibu Katibu mkuu wa Chadema upande wa Tanganyika mh Benson Kigaila hajasikika akimwaga cheche kama alivyozoeleka kwa muda mrefu

Yuko wapi huyu Mwamba?
kwa kweli huyo mwamba hajaonekana hata kusikika akiongea nahisi kuna mambo hayapo sawa kule chadema hasa kwenye maridhiano yanayoendelea nasikia wapo wanaotaka kuachiwa majimbo wengine wanasema hayo siyo maridhiano kinachotakiwa ni katiba mpya

Nilichojiuliza hawa wanaotaka majimbo ni mkuu yule wa chama? maana hata tundulisu hilo anakigugumizi nalo.
 
Mkewe kuwa mmoja wa wale wabunge wa Yobo kusingeweza kumwacha na bashasha lake lile lile siku zote kwenye ukombozi hata kama angekuwa na moyo wa jiwe.

Familia nazo hukwaza .. ndiyo maana Mama Abduli hatumwelewi elewi!
 
Mkewe kuwa mmoja wa wale wabunge wa Yobo kusingewezq kumwacha na bashasha lake lile lile siku zote kwenye ukombozi hata kama angekuwa na moyo wa jiwe.

Familia nazo hukwaza .. ndiyo maana Mama Abduli hatumwelewi elewi!
Mkewe ni miongoni mwa Covid-19?
 
Huyu Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA upande wa Tanganyika mh Benson Kigaila hajasikika akimwaga cheche kama alivyozoeleka kwa muda mrefu

Yuko wapi huyu Mwamba?
Yupo Geita anasajili CHADEMA digital, mbowe kwenye hotuba yake ya jana kampongeza kwa kazi anayofanya huko usiku na mchana kujenga mtandao wa chama katika kila kata huko kanda ya ziwa.
 
Huyu Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA upande wa Tanganyika mh Benson Kigaila hajasikika akimwaga cheche kama alivyozoeleka kwa muda mrefu

Yuko wapi huyu Mwamba?
mkewe si kundi la Covid -19 huyu jamaa. Wife analeta 13mil ktk familia kila mwezi usingetulia?......hata wewe na mimi tungetulia.....ni ukweli mchungu.:p
 
Single Ben alijulikana hivyoo miaka ile anafundisha Twisheni O Level maeneo ya Majumba Sita karibu na banana., Inawezekana kuna wajuba humu aliwafundisha.

Mwambia alikuwa haiingii na notice wa kitabu kika kitu kaweka kichwani, yuko na chaki yake tu akianza kutiririka na masomo.ya Phisics, chemistry na hesabu yaani utapenda mwenyewe.

CHADEMA imebarikiwa kuwa na.watu wenye AKILI nyingi. Benison Kigaioa no mmoja wao.
 
Back
Top Bottom