Lion01
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 475
- 906
Kumekuwa na hii trend, mwanamke anamwambia mume,mchumba au mpenzi wake mambo yake aliyofanya zamani hasa mahusiano.
Ivi niwaulize wanawake unaponiambia mim mwanaume kwamba umewahi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume mwingine, unafikili mimi nitakusifia kuwa ulifanya vizuri et? Au unafikiria nitakupenda zaidi Kwa sababu umeniambia ukweli?
Hata kama nilikukuta huna bikira sawaa najua Kuna mtu alipita hapo, Kuja kuniambia mimi tena Kwa mdomo wako ni kama unatikisa kisu kilichopo tumboni, Bora ukanidanganya kuwa ilitoka Kwa sababu ya kuendesha baiskeli (uwongo mtamu)
Imagine tumependana na kuaminiana sana alafu unakuja kuniambia uliwahi kuishi na mwanaume mwingine kinyumba may be Kwa sababu pesa au nyingine, Kwa upande wangu hapo nakuona wa mchongo tu, nakushusha thamani kabisa.
Au tupo kwenye mahusiano, alafu unaniambia kwamba umewahi KUNISALITI Kwa iyo unaomba msamaha ni bahati mbaya, weee acha ujinga bwana mi hata nikikusamehe sio Toka moyoni ni uwongoo tunaeelndelea kudanganyana ndo kwanza utakuwa umenipa sababu lukuki za mimi kukucheat.
Kwa iyo wadada mambo yako ya zamani hasa yanayohusu mahusiano hayo ni ya kwako, Haina haja ya kumueleza mtu wako WA sasa, we ukimueleza umewah kuwa kwenye mahusiano na mtu mmoja yeye atajua watano then anakudefine kama kipanga kama vipanga wengine
UKITAKA UPENDO USHUKE AMA KUPOTEA KABISA JARIBU KUMUELEZA MAHUSIANO YAKO YA ZAMANI.
Mambo yako ya zamani Mimi HAYANIHUSU hata kidogo hata usijaribu kunieleza na Wala wewe mwanaume usijaribu kudadisi mana hamtaishia pazuri UNLESS ni life THREAT Kwa mwenzako hapo muelekeze