Your past is yours, and my past is mine

Lion01

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
474
903
Kumekuwa na hii trend, mwanamke anamwambia mume,mchumba au mpenzi wake mambo yake aliyofanya zamani hasa mahusiano.

Ivi niwaulize wanawake unaponiambia mim mwanaume kwamba umewahi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume mwingine, unafikili mimi nitakusifia kuwa ulifanya vizuri et? Au unafikiria nitakupenda zaidi Kwa sababu umeniambia ukweli?

Hata kama nilikukuta huna bikira sawaa najua Kuna mtu alipita hapo, Kuja kuniambia mimi tena Kwa mdomo wako ni kama unatikisa kisu kilichopo tumboni, Bora ukanidanganya kuwa ilitoka Kwa sababu ya kuendesha baiskeli (uwongo mtamu)

Imagine tumependana na kuaminiana sana alafu unakuja kuniambia uliwahi kuishi na mwanaume mwingine kinyumba may be Kwa sababu pesa au nyingine, Kwa upande wangu hapo nakuona wa mchongo tu, nakushusha thamani kabisa.

Au tupo kwenye mahusiano, alafu unaniambia kwamba umewahi KUNISALITI Kwa iyo unaomba msamaha ni bahati mbaya, weee acha ujinga bwana mi hata nikikusamehe sio Toka moyoni ni uwongoo tunaeelndelea kudanganyana ndo kwanza utakuwa umenipa sababu lukuki za mimi kukucheat.

Kwa iyo wadada mambo yako ya zamani hasa yanayohusu mahusiano hayo ni ya kwako, Haina haja ya kumueleza mtu wako WA sasa, we ukimueleza umewah kuwa kwenye mahusiano na mtu mmoja yeye atajua watano then anakudefine kama kipanga kama vipanga wengine

UKITAKA UPENDO USHUKE AMA KUPOTEA KABISA JARIBU KUMUELEZA MAHUSIANO YAKO YA ZAMANI.

Mambo yako ya zamani Mimi HAYANIHUSU hata kidogo hata usijaribu kunieleza na Wala wewe mwanaume usijaribu kudadisi mana hamtaishia pazuri UNLESS ni life THREAT Kwa mwenzako hapo muelekeze
 
5f3a466f-2fd1-489f-84fa-832d3a666a07.jpg
 
Ni kweli mkuu sasa ananiambia upuuzi wake wa zamani unanisaidia nini mimi? Binafsi manzi akinipa hizo stori anakuwa amenipa sababu za kumla na kusepa, jitu linajua kabisa kuwa halina bikra halafu linaanza kunihadithia story zake za kifala linazani nimeashum hiyo bikra ilitolewa na dodoki anapooga ama!
 
Ni kweli mkuu sasa ananiambia upuuzi wake wa zamani unanisaidia nini mimi? Binafsi manzi akinipa hizo stori anakuwa amenipa sababu za kumla na kusepa, jitu linajua kabisa kuwa halina bikra halafu linaanza kunihadithia story zake za kifala linazani nimeashum hiyo bikra ilitolewa na dodoki anapooga ama!
Ni ushamba wa hali ya juu kabisa
 
Kwa hiyo Single Maza tusiwasimulie jinsi kina JuJu walivyopatikana? Na Baba zao walivyotutenda?
Mind you hakuna single mama mkorofi🤣, wote tulivunja mahusiano Kwa sababu ya ukorofi wa kina Baba JuJu, we are so perfect....sasa ni dhambi kukusimulia bebi mpya mapito yetu jamani?
 
Kwa hiyo Single Maza tusiwasimulie jinsi kina JuJu walivyopatikana? Na Baba zao walivyotutenda?
Mind you hakuna single mama mkorofi, wote tulivunja mahusiano Kwa sababu ya ukorofi wa kina Baba JuJu, we are so perfect....sasa ni dhambi kukusimulia bebi mpya mapito yetu jamani?
Ni dhambi kubwa mno Yani Kama amekukubali na usingomaza wako
Basi tulia usianze makeke ya kusimulia au kumlinganisha na hao baba zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom