Rage kashinda kesi, alisema anataka fedha irudishwe.
Ahlaan Wasahlan wa marhabaa mtani...
Ftari ukaninyima vyungu vyote 30 sheikh!
Dah kweli uislam ndivyo unavyosema hivyo?
haya bana pesa mtapewa lakini twawaomba mkamlipe yule bimkubwa anayewadai pesa ya chapati tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Pia nawashauri ndugu zangu nendeni mkafanye ukarabati jengo lenu la makao makuu.
Halina vyoo, hivyo inapelekea watu kujisaidia kwenye vifuko vya Lailoni na kutupa juu ya nyumba za jirani.
Then ukikutana na msomali naomba umuulize ile ahadi ya uwanja vp?
Au ni muendelezo wa ahadi za watu wa CCM?
Wabillah Tawfiq asalaam aleikhum
Gazeti gani wewe au la udaku....Kuna gazeti limeandika,'Rage atoka nduki kali ofisi za TFF,ni baada ya kukutana na ushahidi mzito kumhusu Yondani'.
Rage hakutaka pesa, yule msomali alitaka Twite asicheze na alijiapiza kulisimamia hilo. Kama ni fedha zilishapelekwa TFF na Twite mwenyewe siku nyingi na mkakataa kuzichukua. Sasa leo kimewashuka na mambo yenu ya kiswahili.
Yanga hoyeeeeeeeee! Tunawasubiri tuwafanye ile kitu mmefanywa na SofaNYAU
Mods naomba nibadilishie title nimekosea!
Yondani is past his peak/na huyo mkongo pia. Kwa usajili huo wa hayo magarasa wasitegemee kumfunga mnyama ...
Simba wameshitaki kesi 3 na wameshindwa zote, yondani, twiite na Chombo. Rage aliiapia kwamba kasoma sheria lakini kusimamia sheria awezi. Yaani mwenyekiti wa timu anaenda kulipa cash kigali? sijui kama na risiti alipewa makosa hayo hayo yalishamweka lupango lakini hakomi anaendelea kuuza maneno watu wakikaza anakwenda tena lupango.
mama acha kubwata kama bata ni sheria ipi iliyotumika kumwizinisha Yondani kuichezea Yanga kama siyo uhuni wa viongozi wa TFF, wewe uliwahi kuona wapi sheria inaamriwa kwa watu kupiga kura eti wangapi wanataka achezee Yanga na wangapi wanataka achezee Simba!? tumieni akili angalau kidogo siyo hayo makamasi yenu.....soma kilichotokeaSimba wameshitaki kesi 3 na wameshindwa zote, yondani, twiite na Chombo. Rage aliiapia kwamba kasoma sheria lakini kusimamia sheria awezi. Yaani mwenyekiti wa timu anaenda kulipa cash kigali? sijui kama na risiti alipewa makosa hayo hayo yalishamweka lupango lakini hakomi anaendelea kuuza maneno watu wakikaza anakwenda tena lupango.
Wewe bila shaka unasumbuliwa na ukabila.....Nchi hii mambo mengi tunaburuzwatu sheria hazi fatwi Yondan kisheria ni mchezaji wa simba lakini kwa kuwa walioko kwenye hiyo kamati wengi ni Yanga ndiyo maana wameamua hivyo...Rage huyu huyu aka msomali alituambia kuwa kuwa mkataba wa Yondani Yanga ni toilet paper..umesainiwa usiku nk.....Hahahahahaaaaa...achaka ncheke....
Wewe bila shaka unasumbuliwa na ukabila.....Nchi hii mambo mengi tunaburuzwatu sheria hazi fatwi Yondan kisheria ni mchezaji wa simba lakini kwa kuwa walioko kwenye hiyo kamati wengi ni Yanga ndiyo maana wameamua hivyo...