Yondan, Twite Mali ya Yanga ..... TFF Yawaidhinisha

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Tff imeamua hivyo ndugu.Na pia yanga imepewa siku 29 kurudisha pesa za simba.Ha ha ha ha haa! Mtajibeba na Rage wenua-soarce clouds
 
:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:yanga oyeee:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
 
Yondani is past his peak/na huyo mkongo pia. Kwa usajili huo wa hayo magarasa wasitegemee kumfunga mnyama ...
 
Rage kashinda kesi, alisema anataka fedha irudishwe.


Ahlaan Wasahlan wa marhabaa mtani...
Ftari ukaninyima vyungu vyote 30 sheikh!
Dah kweli uislam ndivyo unavyosema hivyo?

haya bana pesa mtapewa lakini twawaomba mkamlipe yule bimkubwa anayewadai pesa ya chapati tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Pia nawashauri ndugu zangu nendeni mkafanye ukarabati jengo lenu la makao makuu.
Halina vyoo, hivyo inapelekea watu kujisaidia kwenye vifuko vya Lailoni na kutupa juu ya nyumba za jirani.

Then ukikutana na msomali naomba umuulize ile ahadi ya uwanja vp?
Au ni muendelezo wa ahadi za watu wa CCM?

Wabillah Tawfiq asalaam aleikhum
 
Yondani is past his peak/na huyo mkongo pia. Kwa usajili huo wa hayo magarasa wasitegemee kumfunga mnyama ...


tarehe 13 mwezi novemba mwaka
1991 katika uwanja wa taifa timu ya
Yanga ya Tanzania waliingia uwanjani na basi la
Sharuksy lililokuwa likimilikiwa na mfadhili wao wa kipindi hicho marehemu Abbas
Gulamali, timu ya Simba ya Dar es salaam iliweka mpira kwapani wakati wa mapumziko na
kutokomea kusiko julikana.
kuweka mpira kwapani kulifuatia vipigo
mfululizo vya august 31, october 9 lakini ilitanguliwa na kipigo cha Said Sued "Scud" cha
mei 18.
 
tarehe 13 mwezi novemba mwaka
1991 katika uwanja wa taifa timu ya
Yanga ya Tanzania waliingia uwanjani na basi la
Sharuksy lililokuwa likimilikiwa na mfadhili wao wa kipindi hicho marehemu Abbas
Gulamali, timu ya Simba ya Dar es salaam iliweka mpira kwapani wakati wa mapumziko na
kutokomea kusiko julikana.
kuweka mpira kwapani kulifuatia vipigo
mfululizo vya august 31, october 9 lakini ilitanguliwa na kipigo cha Said Sued "Scud" cha
mei 18.
Bro wewe ni mkubwa mwenzetu, enzi za Gulamali ndipo Yanga ikaitwa umoja wa Mataifa. Hii ilitokana na Simba kujiita Taifa Kubwa.
 
Mfumo wetu wa usajili ni tatizo. Kwa waliomsikia Mwakalebela juzi, usajili wa Ngasa na Lidondo pia ni batili. Hata huyo Yondani atakuwaje mjinga kupokea pesa kote kote? Nchi hii kila mtu ni tapeli tu.
 
Aibu iliyoje, mpaka leo TFF imeshindwa kutengeneza kanuni za kuzuia ujinga huu? Halafu tunaota maendeleo ya soka.
 
Kuna gazeti limeandika,'Rage atoka nduki kali ofisi za TFF,ni baada ya kukutana na ushahidi mzito kumhusu Yondani'.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom