Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,483
- 40,008
Yes we are! Vinginevyo tukiulizwa "je posho za vikao vya wabunge zimeongezwa?" Tutajibu vipi?
Zimeongezwa bila idhini ya rais wa jamhuri :lol:
this is daylight betrayal
who cares?this is daylight betrayal
Zimeongezwa bila idhini ya rais wa jamhuri :lol:
this is daylight betrayal
Sheria inakataza hivyo but Sitashangaa, kwani sheria gani zinawataka wezi kurudisha walichoiba?
I have no idea, who is the most stupid person of all the time????? ukifatilia swala la posho utamjua!!!!!
Hawajalipwa,
Kama wamelipwaNadhani Mama Makinda anadhani wa-Tanzania ni wazungu nini?
- Nani kaidhinisha
- Kutoka badget ipi
- Kutoka fungu lipi
- Nani na nani wamelipwa
- Nani hajalipwa