Yes madam Speaker, We are stupid!

Nionavyo mimi ameidhinisha lakini kwa kuwa siku zote hataki kuchafuka mikono yake na kuonekana ni mbaya mbele ya watanzania anakanusha kwamba hajaidhinisha. Lakini kituko kikubwa kwangu (bahati mbaya kwake kikwete si kituko) ni kwamba anasema hajaidhinisha lakini anajua kuwa wameshalipana tayari, what is he doing about it? As usual auto pilot itafanya kazi yake.

Zimeongezwa bila idhini ya rais wa jamhuri :lol:
 
I have no idea, who is the most stupid person of all the time????? ukifatilia swala la posho utamjua!!!!!
 
this is daylight betrayal

Hawajalipwa,
Kama wamelipwa

  1. Nani kaidhinisha
  2. Kutoka badget ipi
  3. Kutoka fungu lipi
  4. Nani na nani wamelipwa
  5. Nani hajalipwa
Nadhani Mama Makinda anadhani wa-Tanzania ni wazungu nini?
 
Sheria inakataza hivyo but Sitashangaa, kwani sheria gani zinawataka wezi kurudisha walichoiba?

Tungekuwa tunaheshimu sheria tusingelikuwapo hapa tulipo. Sheria zipo kwenye makaratasi tu, kila jengine ni deal mwanzo mwisho
 
I have no idea, who is the most stupid person of all the time????? ukifatilia swala la posho utamjua!!!!!

Je kweli hatuwezi kupata Document aliyosaini Mkuu na ikawa evidence ili kuweka mambo hadharani?
 
Wakilipwa Zile za Zamani watashindwa hata ku-break even kwa kuwa walitumia pesa nyingi kuupata huo ubunge. Siasa Ni Biashara
 
Natamani mtu angejihuzuru! Natamani wale waliosema kaidhinisha wangeleta vielelezo kuwa mtu wetu msanii.....ona saini yake hii hapa.
 
Hawajalipwa,
Kama wamelipwa
  1. Nani kaidhinisha
  2. Kutoka badget ipi
  3. Kutoka fungu lipi
  4. Nani na nani wamelipwa
  5. Nani hajalipwa
Nadhani Mama Makinda anadhani wa-Tanzania ni wazungu nini?

Kama ulimsikiliza mama jana, yeye kinachomsikitisha ni kuwa Watanzania wanadanganywa na waandishi wa habari, kuwa wabunge wetu wanachukua posho siku 365 za mwaka, ndicho kinacho muuma, anasema '' Jamani hizi posho ni za siku tano tu kwa wiki na kipindi ambacho tuko hapa Dodoma kwenye maisha magumu''
 
Back
Top Bottom