message haijafahamika or is it only me?
siku zote ktk fasihi unapopata maana zaid ya 1 usishtuke.Ni vizuri unapotumia katuni ukawa mwangalifu maana inaweza toa tafsiri nyingi kwa mara moja ingawa ni njia bora ya kutoa ujumbe.
Hata mi sijaielewa
Nimeipenda " the water"Hata mimi sijaelewa vizuri...
kwamba Tanesco is going from bad to worse on the expenses of Tanzanians?
But what about the water? the 'do-once'?
yuppie boy, tueleze basii understand it