Forecaster
Senior Member
- Nov 22, 2013
- 192
- 98
Nimekuwa nikifuatilia sana Mtangazaji wa TBC Taifa, Manju wa Muziki Masoud Masoud akielezea historia ya Muziki wa Tanzania, anauliza uu wapi Muziki wa Kitanzania kwenye Mizania ya Kimataifa, anasema Muziki wetu umepotea na ulibakia kwa Msondo na Sikinde na aoni wa kuundeleza... Nini kifanyika kuunzi muziki wa Kitanzania na tuwe na Mziki wetu wa Kitanzania..,,