Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,826
9,533
Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika namna positive ili 'kutuliza upepo'.

Hapa chini nimefikiria majina ya baadhi ya wananchi wanaoweza kufit katika wadhifa huu muhimu. Nimezingatia sifa zao za uzungumzaji na ushawishi. Wote wako vizuri kwenye kuzungumza na hadhira. Kama ifuatavyo:-
1. Deodatus Balile
2. Salim Kikeke
3. Neville Meena
4. Eshe Muhidin
5. Ayoub Rioba
6. Yahaya Mohamed
7. Badra Masoud
8. Dotto Bulendu
9. Hamisi Dambaya
10. Sakina Datoo

Hawa ni baadhi tu ya watu ambao nawaona wanaweza kuface situation na challenges zinazoambatana na wajibu huu mkubwa...

Mengine yanayoweza kufikiriwa ni:-
1. Dkt. Dotto Paul
2. Innocent Mungy
3. Fred Herbet
4. Nurdin Selemani
5. Jafar Haniu
6. Shaban Kisu
 
Mama anampenda sana Balile, haachi kumtajataja kwenye events za wanahabari. Huyu yahaya mohamed ndio nani, yuko media gani? Balile akila shavu serikalini na gazeti lake litafikia ukomo wa kuaminiwa kama gazeti la uchunguzi. Wapo kina mwijaku, kitenge, sasali, kija yunus na vijana wengine wengi wanaweza kujaza nafasi ya msigwa
 
Yaani Watanzania tuna shobo kishenzi utadhani hao wote una undugu nao.Kwanza hicho cheo kifutwe tu maana hakuna la maana zaidi ya kutumalizia Kodi,Shida kibao umeme tunashindwa kurepea mitambo,halafu tunawaza msemaji,msemaji,kwani akisema waziri au Mama mwenyewe haitoshi kusema serikali imesema??
 
Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika namna positive ili 'kutuliza upepo'.

Hapa chini nimefikiria majina ya baadhi ya wananchi wanaoweza kufit katika wadhifa huu muhimu. Nimezingatia sifa zao za uzungumzaji na ushawishi. Wote wako vizuri kwenye kuzungumza na hadhira. Kama ifuatavyo:-
1. Deodatus Balile
2. Salim Kikeke
3. Neville Meena
4. Eshe Muhidin
5. Ayoub Rioba
6. Yahaya Mohamed
7. Badra Masoud
8. Dotto Bulendu
9. Hamisi Dambaya
10. Sakina Datoo

Hawa ni baadhi tu ya watu ambao nawaona wanaweza kuface situation na challenges zinazoambatana na wajibu huu mkubwa...

Mengine yanayoweza kufikiriwa ni:-
1. Dkt. Dotto Paul
2. Innocent Mungy
3. Fred Herbet
4. Nurdin Selemani
5. Jafar Haniu
6. Shaban Kisu
Muuza Viat

Muuza kangala

Makaveli

Kipanya
 
Back
Top Bottom