Tusubiri mpira uishe ndo tuongee....Mpira dakika 90 bana
Usitie shaka hiyo juisi ya miwa tutashushia hii nguna tuliyo kula leoTaratibu kaka kuna wazee wa manungu si ndi au mechi ndo zimeisha?
Best unanitonesha kidonda mwe!Kama arsenal na Wigan au sio?
si unakumbka kichapo cha gunners kwa wigan?
Afadhali maumivu niloyapata kwa washika bunduki yamepungua kiasi!Na MPIRA UMEKWISHA!
Simba wanaibuka na ushindi wa bao 4 kwa 3 za Yanga na wanatangazwa mabingwa leo hii
:cheer2:
Afadhali maumivu niloyapata kwa washika bunduki yamepungua kiasi!
FraterHahaaaaaaaaaaa....Nikajua ni ile ya akina Mzimba.....Ya Kamati ya ufundi....Hongera kwa ushindi(kwa lugha yetu ile ya Seminarini twasema 'Congratulations pro wining venatus'.....Pamoja frater
Hongereni Wanyama Pori!
Speechless......Siku mbaya sana kwangu kama Senator wa Yanga na pia kama Arsenali damu............What a bad weekend
safi sana viajana wa msimbazi.