Yanga vs Simba April 18 2010

Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,276
125
Naelekea uwanja mkuu mpya wa Taifa kuangalia mtanange kati ya Simba na Yanga. Kwa kupitia kilonga mbali changu nitakuwa nawaletea live updates ikiwa kila kitu kitaenda sawa ( ie masuala ya credit )

Leo ndio leo kandambili hawatoki iwe isiwe lazima tuwafunge, Mnyama kanyaga twende! eeeh kidedea!

Stay tuned
 
Yegho Masatu,

Akikisha unaturushia updates, mzee. Huku si unajua tuko dunia nyingine. Ila usiingie mtini kama Mnyama akisasambuliwa teh teh teh

Shadow!
 
Dont worry mate nipo ndani ya uwanja mtu nyomi atmosphere is fantastic!
 
Masatu,
Usifunge simu Mnyama akikabwa koo, maana leo hatoki milango inafungwa kama yaliyofanyika Kirumba.
 
Naelekea uwanja mkuu mpya wa Taifa kuangalia mtanange kati ya Simba na Yanga. Kwa kupitia kilonga mbali changu nitakuwa nawaletea live updates ikiwa kila kitu kitaenda sawa ( ie masuala ya credit )

Leo ndio leo kandambili hawatoki iwe isiwe lazima tuwafunge, Mnyama kanyaga twende! eeeh kidedea!

Stay tuned

Tuletee mshirika bahati mbaya credit za huku hazitakufaa tungekutumia
 
Dakika ya 25 sasa hivi kipindi cha kwanza , simba ndio wanaonyesha kandanda safi wameshakosa magori 2 mpaka sasa hivi ya wazi ,
 
Mussa Hassan mgosi amepoteza nafasi ya pili sasa baada ya kupiga mpira na kupaa juu
 
megapyne,mussa hassan sasa ni mchezaji wa timu gani? kumbuka you have a worldwide audience ambayo haiwajui hao wachezaji
 
Simba wanapata nafasi nyingi sana za kufunga magoli, ila inakosa wafungaji. Imepoteza nafasi ya nne sasa.
 
Simba wanaonyesha wanacheza vizuri sana walinzi wao ni wazuri , viungo wazuri sana sema hawana umakini wa umaliziaji --DAKIKA YA 36 MPAKA SASA HIVI YANGA HAIJAWAHI KUPATA USHINDI DHIDI YA SIMBA TOKA MWAKA 2000
 
Back
Top Bottom