Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,492
Tatizo Simba kwenye kiungo haijatulia sana leo
Mfungaji nani????
Ile forward kali iliyoitungua Azam goli 3 vp tena? Mkuu Masuke?
Ndo habari ya viwanja vya ugenini hiyo
Polisi 1 simba 0 dk 38 leo mnyama kageuka mbwa
Gooooo! Yanga 2 Mgambo JKT 0
Subiri dk 90. Tutawa'asenal' tu hawa Polisi/kutangulia si kufika
Kumbukumbu zangu zinaonyesha toka ligi ianze hamjashinda hata mechi moja nje ya Dar.