Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

New Picture (1).png
Simba ndio anaongoza ligi.
source: Tanzania: - League table - FIFA.com
 
Attachments

  • New Picture (6).bmp
    4 MB · Views: 29
Waongoze tu lkn their days of leading are numbered tumetoka nyuma points 9 na sasa hivi tuko sawa,chezea Yanga nyie...zile mechi za Taifa zilikuwa zinawajaza ujinga,na gari la Yanga ndo lishawaka...halizimi....Azam wameshtuka wangetuachia tu yule Bonjak sijui Bunjak wakacheza ule mpira waliocheza siku ile na Simba ndo wangeijua Yanga vizuri.
 
Hivi AZAM akishinda hizo mechi mbili anakua na point ngapi vile.? 7bu naona anaviporo viwili na mwenye timu yake ndio ameingia sasa.
 
Anakuwa anaongoza ligi kwa tofauti ya point moja dhidi ya Yanga na Simba.
 
Back
Top Bottom