Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

simba washafungwa goli moja.
polisi 1 - 0 simba.
yanga 1 - 0 mgambo. dakika ya 36. mia
 
Naomba Mungu angalau watoke droo matokeo yakiwa hivi hivi kocha wa Simba anaweza tupiwa vilago dk.45 kona sasa Ngasa anapiga
.....mbona Simba ataibuka mshindi tu!!!, kipindi cha pili ni mauwaji.
 
Back
Top Bottom