Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

Hawa watangazaji wa TBC ovyo sn,move ya Mgambo wanaishautia wkt move za Yanga hta hawazisemi
 
Jamani tupeni matokeo mlioko uwanjani coz ss wa mikoani wanaoendeleza njaa wametubania
 
Jamani tupeni matokeo mlioko uwanjani coz ss wa mikoani wanaoendeleza njaa wametubania

Fatilia mtiririko wa thread utapata mambo
Moro polisi 1 simba 1 mpira unakaribia kuisha
Dar Yanga 2 mgambo 0 dk.25
 
toto na kagera mchezo umesogezwa mbele sababu ya mvua inayo nyesha. uwanja umejaa maji. so mchezo huo utachezwa kesho. mia
 
Simon Msuva katukosesha goli

huyu dogo sijui anafanya nini. anacheza mchezo wa sifa yaani anakimbiza hadi nje ya uwanja. yaani hana faida coz hatoi pasi wala hafungi goli. yeye ni chenga na kukimbiza mwisho wa siku mpira anaupiga nje. inabidi apewe ushauri. hajawahi kupiga akalenga goli angarau hata kipa adake. mia
 
Mkuu mia dogo anapaka mno rangi mpira akifika golini anashindwa kutulia anakuwa na papara.
 
Back
Top Bottom