Yanga SC yaajiri CEO Mpya mwenye 'Lundo' za 'Kesi' mbalimbali za 'Uhalifu' na 'Hatari' Nyinginezo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
CEO MPYA WA YANGA KULIKONI?, KESI ZATAJWA.

Baada ya Yanga kumtambulisha Andre Mtine kama Mtendaji Mkuu wao mpya nimepitia vyanzo mbalimbali vimeonesha kuwa ana rekodi za kesi na tuhuma mbalimbali.

1- KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA (2007) NDOLA, ZAMBIA 🇿🇲

- Andre Mtine alikamatwa na Mamlaka nchini Zambia kutokana na sakata la utakatishaji fedha wa kiasi na wizi wa kiasi cha Kwacha Million 100 sambamba na Maofisa wawili waandamizi ndani ya benki ya Posta ya Zambia.

Wahusika walikuwa Mtine, 43, a Football Association of Zambia (FAZ) Finance manager, Gilbert Kapambwe, 42 na Financial accountant Ignatius Kapembwa.

[Chanzo: The Times of Zambia ]

2- KUKAMATWA NA MAMLAKA ZA UHAMIAJI ZAMBIA 🇿🇲 2013

Mtine alikamatwa na Mamlaka za Uhamiaji nchini Zambia mnamo tarehe 18- 10- 2013 majira ya saa 6:30 mchana kutokana na kuvunja sheria za Uhamiaji kwa wachezaji watatu Stopilla Sunzu, Nathan Sinkala na Reinford Kalaba ambapo baadae waliitwa kutoa maelezo na wakaachiwa.

[Chanzo: Lusaka Voice]

3- KUKAMATWA NA MAMLAKA KUHUSU WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA 🇿🇲 (2014)

- Mtine inasemekana alishawishi wachezaji Nathan Sinkala na Stopilla wasusie mechi ya timu ya taifa ya Zambia dhidi ya Japan, huku pia FAZ wakisema wazi yeye ndie chanzo cha mgogoro kati yao na klabu ya TP Mazembe.

Alifungiwa maisha kujihusisha na soka nchini Zambia.

[ Chanzo: Lusaka Voice]

Huenda kuna Klabu nchini Tanzania inataka Kuwekeza katika Uwizi, Ubadhirifu na Utapeli ndiyo maana imemuajiri Kibaka wa Kizambia kuwa CEO Wake / Wao.

Imeisha hiyo.......!!!!!!!
 
1- KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA (2007) NDOLA, ZAMBIA

2- KUKAMATWA NA MAMLAKA ZA UHAMIAJI ZAMBIA 2013

3- KUKAMATWA NA MAMLAKA KUHUSU WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA (2014)

Kwahyo CEO yupo jera au
 
Kwa lugha nyingine tunasema ni panya Road wa soka,huyu jamaa TFF wakimlea kimayai mayai atakuja kuwaumbua siku moja,maana ni zaidi ya mchwa soon tutaanza kushuhudia kesi za upangaji wa matokeo kwenye ligi yetu bora
 
CEO MPYA WA YANGA KULIKONI?, KESI ZATAJWA.

Baada ya Yanga kumtambulisha Andre Mtine kama Mtendaji Mkuu wao mpya nimepitia vyanzo mbalimbali vimeonesha kuwa ana rekodi za kesi na tuhuma mbalimbali.

1- KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA (2007) NDOLA, ZAMBIA 🇿🇲

- Andre Mtine alikamatwa na Mamlaka nchini Zambia kutokana na sakata la utakatishaji fedha wa kiasi na wizi wa kiasi cha Kwacha Million 100 sambamba na Maofisa wawili waandamizi ndani ya benki ya Posta ya Zambia.

Wahusika walikuwa Mtine, 43, a Football Association of Zambia (FAZ) Finance manager, Gilbert Kapambwe, 42 na Financial accountant Ignatius Kapembwa.

[Chanzo: The Times of Zambia ]

2- KUKAMATWA NA MAMLAKA ZA UHAMIAJI ZAMBIA 🇿🇲 2013

Mtine alikamatwa na Mamlaka za Uhamiaji nchini Zambia mnamo tarehe 18- 10- 2013 majira ya saa 6:30 mchana kutokana na kuvunja sheria za Uhamiaji kwa wachezaji watatu Stopilla Sunzu, Nathan Sinkala na Reinford Kalaba ambapo baadae waliitwa kutoa maelezo na wakaachiwa.

[Chanzo: Lusaka Voice]

3- KUKAMATWA NA MAMLAKA KUHUSU WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA 🇿🇲 (2014)

- Mtine inasemekana alishawishi wachezaji Nathan Sinkala na Stopilla wasusie mechi ya timu ya taifa ya Zambia dhidi ya Japan, huku pia FAZ wakisema wazi yeye ndie chanzo cha mgogoro kati yao na klabu ya TP Mazembe.

Alifungiwa maisha kujihusisha na soka nchini Zambia.

[ Chanzo: Lusaka Voice]

Huenda kuna Klabu nchini Tanzania inataka Kuwekeza katika Uwizi, Ubadhirifu na Utapeli ndiyo maana imemuajiri Kibaka wa Kizambia kuwa CEO Wake / Wao.

Imeisha hiyo.......!!!!!!!
Wewe na Shafi Dauda uliyecopy hizi pumba kwake wote hamna akili.
 
Kwanini Makolo wamepaniki sana na hii ishu? Kwani mmeambiwa au mmechaguliwa aje kuwa CEO wa Simba? Nini kinawawasha yaani?
Muda si mrefu wataanza tena kupiga kelele za kumkataa CEO wao Barbara. Hawa viumbe muda wote vichwa vyao vinawaka moto. Full mawenge.
 
CEO MPYA WA YANGA KULIKONI?, KESI ZATAJWA.

Baada ya Yanga kumtambulisha Andre Mtine kama Mtendaji Mkuu wao mpya nimepitia vyanzo mbalimbali vimeonesha kuwa ana rekodi za kesi na tuhuma mbalimbali.

1- KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA (2007) NDOLA, ZAMBIA 🇿🇲

- Andre Mtine alikamatwa na Mamlaka nchini Zambia kutokana na sakata la utakatishaji fedha wa kiasi na wizi wa kiasi cha Kwacha Million 100 sambamba na Maofisa wawili waandamizi ndani ya benki ya Posta ya Zambia.

Wahusika walikuwa Mtine, 43, a Football Association of Zambia (FAZ) Finance manager, Gilbert Kapambwe, 42 na Financial accountant Ignatius Kapembwa.

[Chanzo: The Times of Zambia ]

2- KUKAMATWA NA MAMLAKA ZA UHAMIAJI ZAMBIA 🇿🇲 2013

Mtine alikamatwa na Mamlaka za Uhamiaji nchini Zambia mnamo tarehe 18- 10- 2013 majira ya saa 6:30 mchana kutokana na kuvunja sheria za Uhamiaji kwa wachezaji watatu Stopilla Sunzu, Nathan Sinkala na Reinford Kalaba ambapo baadae waliitwa kutoa maelezo na wakaachiwa.

[Chanzo: Lusaka Voice]

3- KUKAMATWA NA MAMLAKA KUHUSU WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA 🇿🇲 (2014)

- Mtine inasemekana alishawishi wachezaji Nathan Sinkala na Stopilla wasusie mechi ya timu ya taifa ya Zambia dhidi ya Japan, huku pia FAZ wakisema wazi yeye ndie chanzo cha mgogoro kati yao na klabu ya TP Mazembe.

Alifungiwa maisha kujihusisha na soka nchini Zambia.

[ Chanzo: Lusaka Voice]

Huenda kuna Klabu nchini Tanzania inataka Kuwekeza katika Uwizi, Ubadhirifu na Utapeli ndiyo maana imemuajiri Kibaka wa Kizambia kuwa CEO Wake / Wao.

Imeisha hiyo.......!!!!!!!
Tuletee na hukumu ya hizo kesi na kwa nini akufungwa mpaka leo, usipoleta hukumu ya hizo kesi basi kaeni kimya hivyo hivyo mpira wa kitanzania na Afrika unahitaji mtu mafia kama uyo jamaa na atawanyoosha
 
Ana rundo la kesi lakini kwanini hakufungwa?
Kwenye kesi kufunga ni hatua ya mwisho kabisa baada ya kuthibitishwa kuwa huyu anastahiki adhabu.

Lakini kwanini awe na kesi nyingi? Nadhani hili jambo la kutafakari kama si kujiuliza.
 
Mimi ni shabiki WA Simba Ila Simba wenzangu acheni ujinga na umbumbumbu. MTU kama hajatiwa hatiani ni MTU clean na innocent.

Mbona Aden rage aliwahi kufungwa Jela kabisa na akaja kuwa mwenyekiti WA Simba sports club.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Acha kuchanganya makaratasi hapa na kuniletea hoja za kipuuzi wewe..!

Wapi nimekataa kuwa mtuhumiwa hawezi kushinda kesi na hata baadaye kuwa kiongozi mkubwa na kumtegemewa..!
 
Back
Top Bottom