AIBU: CEO mpya wa Yanga SC alipata kesi ya wizi Zambia, alifungiwa maisha na Chama cha Soka, hajawahi kuwa CEO Mazembe. TFF kazi mnayo

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Oyaaaa , taratibu jamani embu tuwekane sawa naona vichaa wanasema huyu jamaa ndiye kawapa mafanikio mazembe

Idiots, huyu alikuwa afisa wa kawaida tu pale mazembe kama vile kina Asha baraka pale simba, mazembe hawana structure ya CEO, mkubwa kicheo ni President/ chairman Moise katumbi na anayemfuatia kwa nguvu hapo klabuni ni sporting director Fredrick kitenge

Andre Mtine 2007 yeye pamoja na wafanyakazi kadhaa wa shirika la posta alikamatwa kwa wizi wa kwacha millions 100 na akashtakiwa kwa utakatishaji fedha katika KESI ILIYOHUSISHA MADAWA YA KULEVYA KUPITIA SHIRIKA LA POSTA

2014 alifungiwa MAISHA kujihusisha na soka nchini zambia baada ya kusababisha mzozo mkubwa wa kisoka kati ya zambia na DRC congo uliokuwa mkubwa hadi ikasababisha serikali za nchi hizo kuingilia kati na kuyamaliza
issue ilikuwa hivi

Akiwa afisa wa Tp mazembe alihusika kudanganya kwamba wachezaji wa kizambia , kalaba, sunzu na sinkala ni wagonjwa wakakosa game la kirafiki na Brazili lililopigwa china

Wachezaji hao walipoingia zambia , serikali ya nchi hiyo ilishikilia passport zao wasiweze kurudi lubumbashi kwa ajili ya mechi yao vs stade de malien lakini mwamba huyu aliwatorosha kwa njia za panya kupitia ndola, timbwili lilikuwa refu

Pia alikuwa mtunza hazina wa chama cha soka cha zambia alipofukuzwa kwa tuhuma za wizi
MY TAKE: HUYU SIYO SENZO KWA HAKIKA TFF KAZI MNAYO MMELETEWA MTU WA TIMBWILI KWELIKWELI MLIDHANI SOPE TAKADINI ANAJUA KULIANZISHA , MMELETEWA SOPE TAKADINI WA KIMATAIFA, LOL BIRDS OF THE SAME FEATHERS FLOCK TOGETHER



MTINE 1.JPG
mtine 2.JPG
 
Ngoja kwanza.Maana Utopwenge watasema aliyekutuma ulete hii maneno ni Rais wa CAF ili uwavurugie madili yao.🤔🤔🤔😂😂😂
KESI YAKE NA SERIKALI ZAMBIA ILIHUSISHA HADI KITENGO CHA KUZUIA MADAWA YA KULEVYA, NASEMA HIVI TFF KAZI WANAYO HUYU HATA KADI ZA NJANO ATAKUWA ANABWATUKIANA NA KARIA,PERFECT MATCH YA KUFANYA KAZI NA SOPE TAKADINI
 
Ifike hatua Vunjabei agawe zile kanga bure kabisa kwa mashabiki wa kiume wa Simba wabane kibinda vizuri tuwaone kwa mbali.

NB:
Mleta mada ukiweka hapa tamko la yanga linalosema kuwa huyo jamaa aliwahi kuwa CEO wa TP mazembe nitakununulia kanga za simba doti kumi mvae na familia.
 
Ifike hatua Vunjabei agawe zile kanga bure kabisa kwa mashabiki wa kiume wa Simba wabane kibinda vizuri tuwaone kwa mbali.

NB:
Mleta mada ukiweka hapa tamko la yanga linalosema kuwa huyo jamaa aliwahi kuwa CEO wa TP mazembe nitakupa kanga za simba doti kumi mvae na familia.
wakimaliza waweke tamko kwamba hajawahi kufungiwa maisha na FAZ na kwamba hajawahi kuhusika kwenye kesi ya money laundering iliyohusisha hadi kitengo cha madawa ya kulevya cha zambia
na hajawahi kufanya kitendo cha kihaini kutorosha wazambia bila passport kuingia kongo
 
wakimaliza waweke tamko kwamba hajawahi kufungiwa maisha na FAZ na kwamba hajawahi kuhusika kwenye kesi ya money laundering iliyohusisha hadi kitengo cha madawa ya kulevya cha zambia
na hajawahi kufanya kitendo cha kihaini kutorosha wazambia bila passport kuingia kongo
Sasa hizo kesi zoote. Ali fungwa? Kushutumiwa siyo hatia. Hivi vyuoni huko mna soma madudu gani?
 
wakimaliza waweke tamko kwamba hajawahi kufungiwa maisha na FAZ na kwamba hajawahi kuhusika kwenye kesi ya money laundering iliyohusisha hadi kitengo cha madawa ya kulevya cha zambia
na hajawahi kufanya kitendo cha kihaini kutorosha wazambia bila passport kuingia kongo
Sawa kamata kanga mbili hapo kwa vunjabei moja mpe wife.
 
imepenya hiyo,na mkome kusema alikuwa CEO mazembe, hawana cheo hicho kule mziki wote unasimamiwa na moise katumbi, halafu jamaa kesi yake ujue ilihusisha madawa ya kulevya kupitishiwa shirika la posta, MONEY LAUNDERING
Kuwa tukome????? Hivi wewe ni wa jinsia ya kiume au kike???
 
Sasa afisa wa kawaida ata sababushaje mgogoro wa DRC Congo na Zambia? Kama siyo kula matapishi yako.
huna akili wewe idiot na habari kamili nimekuwekea bado hujaelewa, hujawahi kusikia kesi ya yule mtoto wa miaka 12 mcuba alisababisha mgogoro kati ya USA na CUBA sembuse huyu mtuhumiwa wa kesi ya utakatishaji fedha huko zambia?
ALitorosha wachezaji wa mazembe ambao passport zao zilikuwa zimeshikiliwa na serikali ya zambia wakingia kongo bila passport , sijui nimeweza kukuelewesha au kicha kigumu kama nazi
 
Back
Top Bottom