Yanga ipewe pongezi kwa ubunifu wao katika soka duniani

The Lastdream

JF-Expert Member
Jan 23, 2024
1,581
3,476
Wanajamvi mambo ni vipi

Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani.

Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu.

Ally Kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao katika mechi imekuwa chachu ya matokeo mazuri sana na muendelezo mzuri katika klabu ya yanga.

Duniani hii kitu utaipata kwa Dar Young African.

Hakika huu ni ubunifu mkubwa sana kuwahi kutokea katika soka ulimwenguni.

Eng. Hersi nimpe pongezi kwa uongozi wake uliotukuka.

KIDOKEZO: SIMBA MRUDISHENI MWANAMAMA BRABRA.
 
wanajamvi mambo ni vipi

Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani.

Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu.

Ally kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao katika mechi imekuwa chachu ya matokeo mazuri sana na muendelezo mzuri katika klabu ya yanga.

Una uhakika hilo wazo ni la ali kamwe? Maana hapo yanga kuna timu ya ubunifu wa mambo kama hayo inawezekana kuna mwingine ambae hajulikani ndie alietoa hilo wazo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
wanajamvi mambo ni vipi

Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani.

Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu.

Ally kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao katika mechi imekuwa chachu ya matokeo mazuri sana na muendelezo mzuri katika klabu ya yanga.

Duniani hii kitu utaipata kwa Dar Young African.

Hakika huu ni ubunifu mkubwa sana kuwahi kutokea katika soka ulimwenguni.

Eng. Hersi nimpe pongezi kwa uongozi wake uliotukuka.

KIDOKEZO: SIMBA MRUDISHENI MWANAMAMA BRABRA.
Mbumbumbu FC, a.k.a Ngada FC wakajifanya kuiga banaa..!! Si wakajifanya eti sijui mgeni rasmi fyokofyokofyokofyokoooo..!!! Mgeni rasmi akala gwalaaa..!! a.k.a kono la nyani..!! Na wakaishia hapo hapo na mambo yao ya mgeni rasmi..!! Walimdhalilisha sana Kibu..!!
 
wanajamvi mambo ni vipi

Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani.

Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu.

Ally kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao katika mechi imekuwa chachu ya matokeo mazuri sana na muendelezo mzuri katika klabu ya yanga.

Duniani hii kitu utaipata kwa Dar Young African.

Hakika huu ni ubunifu mkubwa sana kuwahi kutokea katika soka ulimwenguni.

Eng. Hersi nimpe pongezi kwa uongozi wake uliotukuka.

KIDOKEZO: SIMBA MRUDISHENI MWANAMAMA BRABRA.
Wee utopolo siyo BRABRA!
BABRA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom