Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hivi ule upande wenu wa pili hali ya uwanja wenu wa matopeni ikoje?
Tuanzie hapo ndipo tuone hizo jitihada unazotaka kuziona.

Lakini yeye ametoa ushauri tu, ambao pengine ingebidi mlipe hela kusaka mshauri juu ya lile gofu lenu pale jangwani.
Mlipaswa mshukuru tu kwa ushauri wake kuliko kumkasirikia huyu jamaa. Eti naongopa baby wangu?

Ova
 
Huo sio ushauri bali ni kejeli na unafiki.
Naona umefuraaaaahi mwenyewe na kuongeza chumvi zaidi.

Eti unamshauri mwenzio ajenge nyumba ilhali wewe unalala nje?
Excuse me.

Kumbe ilikuwa kejeli? Basi hana maana huyu jamaa, na ushauri wake abaki nao.
Sorry mpenzi wangu kwa kuingia mkenge wa kuungana na kejeli za huyu jamaa.
Bila shaka msamaha utakubaliwa kiroho safi.

Ova
 
Back
Top Bottom