Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

kuchukua kombe..yanga itashinda game za uwanja wa taifa..ila huko mkoani mtashinda kwa ugumu..leo mnadrooo
 
Yanga walaini laini mno..cio timu ya ushindi kwa game ngumu
.
ndio maana mashindano ya kimataifa tunapigwa..Mimi hapa tanzania sina timu..sitaki kufa presha..sitaki bora liende mimi...
Nikae tu na real madrid yangu bas
 
Simba game 5 za kwanza anaanza nyumbani,while Yanga mechi 5 anaanza ugenini
 
Yanga walaini laini mno..cio timu ya ushindi kwa game ngumu
.
ndio maana mashindano ya kimataifa tunapigwa..Mimi hapa tanzania sina timu..sitaki kufa presha..sitaki bora liende mimi...
Nikae tu na real madrid yangu bas
Inaonekana wewe ni mgeni wa soka la Tanzania.Yanga huwa anapata tabu kwa ugenini kwa Ndanda,Azam,Mtibwa na zile timu za Tanga (msimu huu zimeshuka daraja).Wengine waliobaki wote vibonde kwa Yanga
 
Hawa ndanda kila siku ni wasumbufu kwa Yanga kwa kweli
 
Back
Top Bottom