aden rage al shabaab hana bunduki jamani kumbukeni akaguliwe
Mmekosa kazi ya kufanya kwa kufatilia soka la bongo.
Mpwa hivi huna mapepo kweli? Ww si ndio yule yule unaisifia bongo? mmh hii nayo ni alama ya mnafiki, leo CCM nzuri ila soka la bongo No!!! Kaazi kweli kweli!
soka la bongo lina uhusiano gani na ccm.