Wadau kinachoendelea hapa kwa sasa ni shamrashamra na majigambo ya mashabiki,nimeona mashabiki wa msimbaz wamebeba kitu mfano wa jeneza,kisha lina rangi ya kijan na njano,kisha limeandikwa PAPIC,kingne ni kwamba polis wanatumia mwanya kwenye mechi hii kujinufaisha kwa kudai rushwa,nilpokua getin wakaanza mbwembwe kwa kututishia mbwa,
Kwa upande wa timu bado hazijawasili
Kwa upande wa timu bado hazijawasili