Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumanne tarehe 2 Septemba, 2014

nilijua mtu akiwa na pua kubwa anakuwa kiongozi mzuri lakini sasa nimeona ni opposite kabisa
 
Yaani ni matahira haki ya wanaume eti wanapigwa siku hizi iingie kwenye katiba, kama hawakufanya kitu si wanyamaze tu.Yaani 300000 wanajaribu kuonyesha wamefanya kazi, aibu aibu aibu
 
Hivi ni katiba inaandikwa au insha? kwa sababu mapendekezo mengi ya kamati yanatakiwa yawepo tuu kwenye sheria na sio kwenye katiba...huwezi kuweka kila kitu mpaka minor issues kwenye katiba! eti katiba ilinde haki za maiti? seriously? sasa sheria zitakuwepo za nini?

Katiba ya mataahira
 
Si bora wangekuwa wameandika insha? Mimi naona kama wanagani mashairi
 
Hatuna neno,joto la jiwe mtaliona mwakani,time wil tel!wanaccm wamelishwa nin?kweli una2mika kukiangamiza kizazi cha kesho?hv ni kweli wanaccm hawaoni ufisadi mkubwa kila kukicha?ni uendawazimu au ni ufir.auni?
 
Mkuu, wakati wewe unaandika haya, nimechungulia kwenye TV nimeona Watanzania wengi wameenda Dodoma kuangalia mijadala ya bunge hilo. Ile sehemu wanayokaa wageni imejaa sana. Ninaamini kuwa hata kwenye TV Watanzania wengi wanafuatilia
sio wote wanaovaa makoti meupe ni madaktari mkuu kuna wengine ni wauza nyama kwenye mabucha na wauza nyama choma
 
Hawa wajumbe wa bmk watachomwa vibaya siku ya kihama,nawaonea huruma,hivi ni kitu gani wanachojadili wakati hamna katiba mpya.
 
Hivi ni katiba inaandikwa au insha? kwa sababu mapendekezo mengi ya kamati yanatakiwa yawepo tuu kwenye sheria na sio kwenye katiba...huwezi kuweka kila kitu mpaka minor issues kwenye katiba! eti katiba ilinde haki za maiti? seriously? sasa sheria zitakuwepo za nini?
yaani ni kama wako kutunga sheria za kijiji.
masikini! asilimia kubwa hawaelewi hata tofauti ya katiba na sheria, wasomi wako wapi jamani wakatoe semina?
 
Huyu sitta hata simuelewi,
Kwani kubenea hana haki ya kwenda mahakamani ?
anamtukania nini?

Sitta ana kila sababu za kumbeza na kumkejeli Kubenea; maana anajua huko alikokimbilia ndiko waliko makada wakereketwa wa Chichiem na anayafahamu matokeo hata kesi haijaamuliwa! Maana ni punguani tu anayeweza kupuuza hoja zilizoko Mahakamani na ambazo uamuzi wake bado kutolewa!
 
Mkuu nimeangalia kidogo tu nkaona uzushi...salama salimini

Sijapata kuona viongozi kwenye nchi ya kidemokrasia wakichezea maoni ya wananchi kiasi hiki. Ni ktk nchi zenye mfumo wa kiimla tu ndipo utakuta mambo yanaendeshwa kwa mtindo unaoendelea sasa hivi hapa nchini.
 
Je waliokimbia bunge
 
Mkuu Skype, tunawamis sana wewe, Chabruma, kibo10 na wengine mlivyokuwa mnaendesha mjadala kizalendo kabla ya UKAWA hawajaweka mpira kwapani

Nipo sana mkuu Lizaboni, kwa sasa nimetingwa na majukumu anuai hivyo sitaweza kushiriki moja kwa moja ktk kuleta updates isipokuwa nikipata wasaa ntafanya hivyo. Nafikiri wadau wengine wataendelea kutupasha kinachojiri.
 
Last edited by a moderator:
Je waliokimbia bunge

Waliokimbia bunge walifanya hivyo kutokana na kuvurugwa kwa matakwa ya wananchi, hata wewe ni shahidi na nina uhakika kama hukuona basi ulisikia ktk media namna upande wa utawala ulivyoamua kuharibu mtiririko na mwenendo wa upatikanaji wa katiba ya wananchi.
 
Back
Top Bottom