Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumanne tarehe 2 Septemba, 2014

mkuu nakubaliana na ww kama magamba wataendelea kubaki madarakani;ila kama wakitemwa 2015 tanganyika yetu itapatikana.

Hao unao wita magamba jua wamewekeza kwa wananchi kila kona.CCM can never end kwagarama yoyote
 
mkuu watakuwa wajinga sana kwani misri na kwingineko hawakuwa na hawa Watu?kumbuka hao Watu wengine ni baba zetu,shemeji zetu,wajomba wetu,mama zetu,dada zetu,wadogo na kaka zetu.so wanapotutendea udhalimu wanawatendea na wao pia.mimi kinachonifurahisha ni kwamba wanatuhimiza kwa nguvu zote tujitambue....note:ukila na kipofu................but wao wanafanya tofauti.

No matter how it happened or who is to blame,the sad reality is that we as a nation have everything that is supposedly broken hasn't and probably will never happen
 
Badala ya kusoma maoni yawachache ya sura namba 7, 8 ,14 na mpya kama walikuwa nazo , Mohamed Arfi akaanza kusoma kimemo ambacho alikuwa akipiga chabo kwa pembeni chenye kuongelea serikali 3 , maneno ambayo ni ya sura namba 1 a 6. Ni mwanakamati mwenzake aliyemshutukia akipiga chabo na kuomba taarifa kwa mwenyekiti ili asome walichojadili na siyo kimemo na kwamba akimaliza walichojadili ndipo aseme ya kwenye kimemo.

Mohamed Arf ndo nani ?
 
Mkuu, umetumia falsafa gani kwenye hili andiko lako?

nimekuwa kama Kingo anapeleka message indirect.. CCM inajifariji haiwezi kufa na inapangia watanzania wapendavyo sababu wana pesa na mengine....Kwa utawazi wa sasa Ipo ICU israel tu anasubiriwa kuweka maamuzi, Israel mwenyewe ni Kura zitakapokuwa hafifu tu
 
Back
Top Bottom