Hivi ni katiba inaandikwa au insha? kwa sababu mapendekezo mengi ya kamati yanatakiwa yawepo tuu kwenye sheria na sio kwenye katiba...huwezi kuweka kila kitu mpaka minor issues kwenye katiba! eti katiba ilinde haki za maiti? seriously? sasa sheria zitakuwepo za nini?
Hivi ni katiba inaandikwa au insha? kwa sababu mapendekezo mengi ya kamati yanatakiwa yawepo tuu kwenye sheria na sio kwenye katiba...huwezi kuweka kila kitu mpaka minor issues kwenye katiba! eti katiba ilinde haki za maiti? seriously? sasa sheria zitakuwepo za nini?
sio wote wanaovaa makoti meupe ni madaktari mkuu kuna wengine ni wauza nyama kwenye mabucha na wauza nyama chomaMkuu, wakati wewe unaandika haya, nimechungulia kwenye TV nimeona Watanzania wengi wameenda Dodoma kuangalia mijadala ya bunge hilo. Ile sehemu wanayokaa wageni imejaa sana. Ninaamini kuwa hata kwenye TV Watanzania wengi wanafuatilia
...inaleta rahaa sana kwa kweli wamefanya kazi nzuri .vitu vizuri vimewekwa maadili ya viongozi haki za wananchi.
yaani ni kama wako kutunga sheria za kijiji.Hivi ni katiba inaandikwa au insha? kwa sababu mapendekezo mengi ya kamati yanatakiwa yawepo tuu kwenye sheria na sio kwenye katiba...huwezi kuweka kila kitu mpaka minor issues kwenye katiba! eti katiba ilinde haki za maiti? seriously? sasa sheria zitakuwepo za nini?
lichochezi kaziniKwa hiyo unamaanisha Sammuel Sitta ambaye ndiye stelingi wa bunge hili atauawa?
Huyu sitta hata simuelewi,
Kwani kubenea hana haki ya kwenda mahakamani ?
anamtukania nini?
CCM ni wapuuzi wakubwa....Huyu Sitta huyu!!!!Kwa hiyo katiba ya maana, lazima ukawa wawepo bungeni. Ukisusa...
Mkuu nimeangalia kidogo tu nkaona uzushi...salama salimini
Sijapata kuona viongozi kwenye nchi ya kidemokrasia wakichezea maoni ya wananchi kiasi hiki. Ni ktk nchi zenye mfumo wa kiimla tu ndipo utakuta mambo yanaendeshwa kwa mtindo unaoendelea sasa hivi hapa nchini.
Angefanyiwa babako uhalifu ule usingekuja hapa na huu upuzi wakoKweli kubenea komedi hilo mbona liko wazi hachelewi kujiteka halafu anasema katekwa hovyo kabisa.
Mkuu Skype, tunawamis sana wewe, Chabruma, kibo10 na wengine mlivyokuwa mnaendesha mjadala kizalendo kabla ya UKAWA hawajaweka mpira kwapani
Je waliokimbia bunge