Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumanne tarehe 2 Septemba, 2014

hivi hii wavuti ya bunge kwangu haina sauti nnaona icha tu jee na nyny kwenu huko mliko ni kama mm?
 
Kuna mjumbe anasoma maoni ya walio wengi.

1. Futa muundo wa muungano wa shirikisho.
2. Mawaziri wasiozidi 15 waliopendekezwa na rasimu wanasema ni wachache. Walio wengi wanataka waongezwe. Kwahiyo hili nalo futa!!
3. Rasimu imependekeza wabunge wasiwe mawaziri. Walio wengi wanataka hili nalo lifutwe. Wanataka wabunge waendelee kuwa mawaziri.

Kinachoendelea bungeni ni futa, delete, futa delete, futa delete, futa delete. Nimeumia sana, nimegundua tunapoelekea siko.
 
Huu ni ufujaji mkubwa wa pesa zetu,ukitafakari kwa kina hakukuwa na sababu ya kuunda tume ya kukusanya maoni,hakika siku ikitangazwa wanaotaka kuingia msituni,mimi ntakuwa mstari wa mbele,bora kufa kuliko ukatili huu tunaofanyiwa na hii serikali,tumejaribu kuwabana kwa njia halali kupitia tume ya jaji J.S.Warioba,wametumia mabavu yasiyoelezeka,kilichobaki ni sisi vijana kutumia uwezo wetu wote kudhibiti huu ushenzi wa Ccm!!!
 
Mkuu utawaweza? Wanajivunia kuwa na JWTZ, Polisi, Magereza, polisi jamii, usalama wa taifa, blue guard na mamluki lukuki.
 
Nashangaa kituo cha utangazaji cha umma TBC kurusha matangazo ya CCM live!!
 
Kama mtoa mada unamaanisha, nakupongeza lakini kama unataka tupige push-up na jogging za vidole kwenye keypad, bado hatutaipata Katiba tunayo itaka.
 
sijui wanajadili nini. Wanakera sana tena sana. sisi tunataka serikali 3 tunataka Tanganyika yetu.
 
Back
Top Bottom