Raia Mwema
JF-Expert Member
- Jun 30, 2008
- 535
- 79
picha zinaonyesha mambo yalikuwa magumu kwa chadema. Hizi sio aina ya picha nilizozoea kuona hapa Jf kutoka kwenye mikutano ya chadema
mbona ktk mikutano ya cuf watu wanajaa sana na population ni hiyohiyo?cdm kwa zenj hawana chaokumbuka kule ni kijijini.lakini pia population ya zbr ni ndogo sana.usisahau
Wengine wanakurupuka tu kuandika na kubeza mahudhurio ya CDM huko Uzini wala hawajawahi kufika huko ZNZ,jamani kule watu wanajuana kila mmoja na hii ni kutokana na watu ni wachache sana,msiongee tu kwa kuleta ubishi usiokuwa na tija,tena hata hao Magamba mnazidi kuwapumbaza kwa kuwapa sifa ambazo si zao,lakini pia msiongee bila kujua hulka za watu wa ZNZ,na tabia zao zilivyo hapo huenda hata Magamba wamejitahidi sana kuzuia watu wasihudhurie mkutano huo na wengine hata kutishiwa kupoteza kazi,huenda masheha nao wamefanya kazi,lakini pamoja na hayo watu wamejitokeza,kwa mimi ninavyoijua ZNZ huko Uzini hapo naona wamehudhuria wengi,na tusubiri sanduku la kura.
hao akina mama ni viongozi au magamba wamekupofusha? macho yako labda yana masaburi! halafu idadi ya wakazi wa hicho kitongoji unaifahamu? viva chademaidadi kubwa ni viongozi kuliko wasikilizaji
Hivi Zamzibar ni nchi?Yaani huo ndio uzinduzi wa kampeni?
utakuwa si wa kwanza kusema hivyo hata nyerere alisema hilo si mama yakeHampati hata robo ya kura wacha kuchukuwa jimbo. Naongeza ofa, mkipata nusu tu ya kura nna-achana na CCM.
Naapa kwa jina la Mungu, mimi nikiwa kama Muislamu ambaye naamini Mungu Mmoja ambaye Hakuzaa wala Hakuzaliwa na wala hakuna yeyote mfano Wake, mimi sina uhusiano wowote na watajwa wa hapo juu na pia siwajui kabisaaaaaa! Kazi kwenu sasa.
Bali unaamini maneno ya aliyebakwa na kubaka
Yaani huo ndio uzinduzi wa kampeni?
Mkuu mimi nilikuwepo, hebu unajua jimbo la uzini lina wapiga kura wangapi? Hawazidi 3000, yaani ni kama kata moja, lakini hapa palikuwa na msiba, hivyo maudhurio yalikuwa mazuri, kwa harakaharaka watu wake hawakupungua 1500, sasa ndg yangu unabeza kitu gani?
Hakuna wenyewe, wenyewe ndo wenyewe!!!sio Kila mchezaji anakwenda kufunga, kazi ya golikipa ni kulinda bao. Chadema kaeni Arusha na Moshi ya Unguja waachie wenyewe
Uchaguzi wa 2010 jimbo ambalo CHADEMA ilipata kura nyingi kwa Zanzibar yote ni Jimbo la Kiwani lililopo Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba, Shehia ya Mwambe, kura zilikua 400. Na kura hizi zote zilitoka katika kijiji kimoja cha Kiunga ambapo mgombea wake ni mfanyabiashara, katika kupata kura hizi mgombea huyo alitumia zaidi ya mil. 8 Tsh. Na sababu iyomfanya apate kura hizi; alitaka kumtia adabu mgombea wa CUF baada ya mgombea huyo wa CUF kukumbwa na kashfa ya kutembea na (.......). Ndipo mgombea huyo wa CHADEMA akaamua kumwaga pesa kwa tamaa ya kujinyakulia jimbo na badala yake alilia kilio cha mbwa na hadi leo hii hakupata wa kumnyamazisha! Huku Zanzibar hakuna CHADEMA wala CHAMSHIPI, na fujo zote hizo wanazozifanya na huku wakipigwa na baridi (nasikia wamejenga mahema kama vibarua wa karafuu) hawatozidi kura 32, tusubirini Aibu ya mwaka!
mbona ktk mikutano ya cuf watu wanajaa sana na population ni hiyohiyo?cdm kwa zenj hawana chao