Yanayoendelea Uzini, Kampeni za CHADEMA-Picha

sio Kila mchezaji anakwenda kufunga, kazi ya golikipa ni kulinda bao. Chadema kaeni Arusha na Moshi ya Unguja waachie wenyewe

bado ujafanya research ya kutosha.Hapo tulipoanzia ni ushindi mkubwa sana.........
  1. Uzini ni jimbo lililoko kijijini.
  2. Pili uwingi wa watu wa Uzini ndio hao wanaoonekana.kutokana na popolation iliyopo.
 
Lakini si afadhali wamekwenda waambie CUF waende Arusha tuone.

Yamekuwa hayo tena utetezi wa kitoto kabisa huo.

Uninakumbusha wakati nipo Kindergarten, ukipigwa na mwenzako unamwambia usije kwetu...Ha! Haa! Haaa!
 
attachment.php
attachment.php



attachment.php
 
duhu. Yaani idadi kubwa ni viongozi kuliko wasikilizaji? Kama arusha na Moshi tungalishuhudia vionjo vya picha kila aina

Kamanda unajaribu kulinganisha mbigu na ardhi. Unapaswa tu kujua kuwa hili jimbo ni la shamba sana, ndivyo wanavyoita huku maeneo ya vijijini. Lakini pia hata Arusha maeneo gani, unaweza kwenda Arusha ndani ndani kabisa, pia ukapata idadi ndogo ya watu. Kuna factors nyingi. Zanzibar idadi ya watu ni wachache, kama jimbo lote lina wapiga kura takriban 8,000, unategemea turn up ya kila mkutano kijijini watakuwa watu wangapi. Ni suala la kuwa logical tu, au sio mkuu
 
  • Thanks
Reactions: FJM
bado ujafanya research ya kutosha.Hapo tulipoanzia ni ushindi mkubwa sana.........
  1. Uzini ni jimbo lililoko kijijini.
  2. Pili uwingi wa watu wa Uzini ndio hao wanaoonekana.kutokana na popolation iliyopo.
Dada Josephine huyu Malaria Sugu tuachie sisi tumalizane nae, asikupotezee muda
 
sio kiasi hicho. kama idadi ya viongozi wa Chadema ni kubwa kuliko wasikilizaji ni dalili kwamba mfunge virago na kuelekea kuunga MKono madaktari

siitaji kulumbana na wewe,kwani unaongea nadharia na sio uhalisia.

Iko sababu na wewe kuwaunga mkono madaktari kama kweli unapenda mabadiliko kwenye nchi yako,kwani watu wale hawapiganii masilahi yao peke yao bali yakwakwo na watu wa ukoo wako.
 
bado ujafanya research ya kutosha.Hapo tulipoanzia ni ushindi mkubwa sana.........
  1. Uzini ni jimbo lililoko kijijini.
  2. Pili uwingi wa watu wa Uzini ndio hao wanaoonekana.kutokana na popolation iliyopo.
idadi kamili ya watu wa uzini ni 20. kama ni hivyo basi ni wazi chadema ishanyakuwa ushindi wa Kishindo. lkn naona viongozi hapo ni wengi kuliko hata wasilizaji
 
Wakuu wanaJF, nitawaweka picha zingine nyingi zaidi baadae. Hapa nilipo pamoja na net kuwa very slow, lakini pia wananiambia wanataka kufunga. Hakuna kuongeza muda zaidi. Nimefanikiwa kuweka hizi na kujibu hoja za watu kadhaa katika ile thread nyingine. Asanteni. Mpaka hapo baadae. Pia nitakuja kuwapatia caption ya picha hizo wakati huo wakuu.

Aibuuuuuuuuu! Nipo Darasani muda huu nitakuja na madogo yangu baadae
 
Wanaopiga kelele watu wachache ka inchi kenyewe kako wapi? tukiwahesabu watu wote including watoto hawafiki hata laki.
 
bado ujafanya research ya kutosha.Hapo tulipoanzia ni ushindi mkubwa sana.........
  1. Uzini ni jimbo lililoko kijijini.
  2. Pili uwingi wa watu wa Uzini ndio hao wanaoonekana.kutokana na popolation iliyopo.

Chadema kuna wasemaji wengi kila mmoja anakurupuka na lake.
 
Wakuu! Heshima mbele

vi kama idadi ya Wazanzibar wote si zaidi ya 1.5 Mil kwa eneo la Uzini unategemea wananchi kujitekeza kwenye mikutano ya kampeni wawe wangapi kama sio idadi kama hiyo tulioona kwenye ufunguzi wa CHADEMA?

Kwangu mimi nahesabu kwamba ushindi tayari kwa CHADEMA. Peopleeeeeeeeeee's Powerrrrrrrrrr.................!
 
Back
Top Bottom