View attachment 46333Baada ya Idadi ya watu kuwa ndogo.....Mbowe na Slaa wakaamua kuwa part ya hadhira ili kujazia jazia nafasi!!! Kwa Zanzibar safari ya CDM bado ndefu sana!!!
JF Comedy

UCHAGUZI MKUU 2010 UZINI: AFP 14=0.2%, CCM
7158=89.9%, CUF 731,
JAHAZI 29=0.3%, NCCR-
MAGEUZI 7=0.1, NRA
8=0.1%, TADEA 12=0.2% BogSpot.com
|
|
angali vizuri kule kwenye migomba wale ni watu wanaogopa tu kuwa karibu na juukwaa msije mkawatenga ila elimu wanaipokeaView attachment 46333Baada ya Idadi ya watu kuwa ndogo.....Mbowe na Slaa wakaamua kuwa part ya hadhira ili kujazia jazia nafasi!!! Kwa Zanzibar safari ya CDM bado ndefu sana!!!
idadi kubwa ni viongozi kuliko wasikilizaji
Magwanda mkipata kiti cha Uzini, najifuta uanachama wa CCM na sitowatetea tena, lakini sijiungi na magwanda wala chama kingine chochote, naachana kabisa na unazi wa siasa za kijinga. Na ntaihama Tanzania kwa mara nyingine, maana itakuwa si nchi tena hii. Magwanda hawa magwanda? Unguja? Duhhhh! labda akiwa Zitto ndio Mwenyekiti.
Hampati hata robo ya kura wacha kuchukuwa jimbo. Naongeza ofa, mkipata nusu tu ya kura nna-achana na CCM.
Acha Uongo,Angalia matokeo hapo kwenye link The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
Help | Disclaimer | Privacy | Site Feedback
Copyrights ©2008, The United Republic of Tanzania, National electoral Commission All Rights Reserved
Designed and published by DataVision International (T) Ltd