Yanahitajika Maelezo ya Kina Billioni 8.2 Kukarabati Bunge tu?

Hii yote ni watu kujitafutia ulaji sizani kama hata zingetumika zaidi ya mil 300 kwenye ukarabati hii naona ni muendelezo wa serikali yetu kutuonyesha kuwa haiko makini na matumizi ya kodi ya wananchi maikini na walala hoi.. Ngoja tu mda wao uishe mana Tumechoka na wizi wao kilasiku utasikia jipya mara leo hili mara kesho lile Dah....Tumechoka wa Tanzania
 
- Kama mwananchi wa Tanzania, nimeshitushwa sana na habari za pesa zilizotumika kukarabati Bunge kwa ajili ya Bunge la Katiba, siamini kwamba hizo pesa ni kweli zimetumika kukarabati tu.

Kwa maoni yangu, hizo pesa kama kweli zimetumika basi zingeweza kujenga bunge jipya pembeni na bunge la sasa unless kuna something I am missing on the issue.

Mimi nadhani hizo pesa ni nyingi mno, zinahitaji kutolewa maelezo na wahusika au kama humu ndani kuna wasomi wa ujenzi wanipe darasa kidogo, kwani siaamini kama ni kweli tumekarabati tu bunge kwa Billioni 8.2!

Le Mutuz in Lagos.

longolongo tu
 
Matatizo ya kula bila kunawa haya.
 
- Kaka hujagundua kwamba hapa pana guilty flani hivi kwa Wapinzani kwamba walikuwa wapi on this sasa dawa ni kujaribu kuua mjadala na maneno maneno mengi yasiyohus
lakini usiwe na wasi wasi wanajua kwamba huku uapnde wa pili nipo Le Big Show saa hizi nipo kwenye ndege narudi Accra
sasa una karibia kuokota makopo.
so I have a lot of time kucheza nao Billioni nane ni nyingi sana jamani kuna mwenye maelezo ya kuhalalisha?

Le Mutuz
 
- Kama mwananchi wa Tanzania, nimeshitushwa sana na habari za pesa zilizotumika kukarabati Bunge kwa ajili ya Bunge la Katiba, siamini kwamba hizo pesa ni kweli zimetumika kukarabati tu.

Kwa maoni yangu, hizo pesa kama kweli zimetumika basi zingeweza kujenga bunge jipya pembeni na bunge la sasa unless kuna something I am missing on the issue.

Mimi nadhani hizo pesa ni nyingi mno, zinahitaji kutolewa maelezo na wahusika au kama humu ndani kuna wasomi wa ujenzi wanipe darasa kidogo, kwani siaamini kama ni kweli tumekarabati tu bunge kwa Billioni 8.2!

Le Mutuz in Lagos.

Na zile bilioni 480 zilizoibiwa hazina hata hujajiuliza?
 
- Kaka ni kutumia akili japo kidogo tu then utajua kwamba hizo zilizotumika ni pesa zilizoidhinishwa na Bunge wakiwemo Wapinzani,

Le Mutuz

Kaka Le Mutuz wapinzani hawezi kuzuia ulaji wa chama chetu,ni wachache mno.Halafu ile kura yetu ya wanaokataa waseme SIYOOOOOOOOOOOOOOO na wanaokubali waseme NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOO kule Bungeni,inatuua sana watanzania.Nakubaliana na wewe kabisa kwenye hoja yako ya msingi,ila wakati mnawapitizha wagombea waubunge kwenye chama chetu hakikisheni ni wazalendo na so mafisadi,na pili pigeni vita rushwa ndani ya chaguzi zetu ndani ya chama chetu.

Pesa hizi kaka Le Mutuz zinarudisha ile rushwa iliyotolewa wakati wa chaguzi.Pole sana kwa kuumia lakini haisaidii kama kilio chako hautakifikisha kwenye chama chetu maana wewe ni mjumbe huko.Na Mzee pamoja na Mama mdogo ni viongozi wenye sauti ndani ya chama washawishi waliongelee ili litolewe maelezo.
 
- Kaka mbona unajisema mwenyewe kwamba ni mnafiki maana maneno yako ya hasira ni dalili tosha kwamba kuna kitu unajaribu kukificha na kukitetea kwamba unaona aibu kwamba Wapinzani walinyamaza kwenye hili ina maana something went on, sasa kwa vile uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana unafikiri ukitumia lugha kitoto kama hizo utanitisha kunyamaza kaka Billioni 8 ni nyingi sana na zisingeruhusiwa kutumika bila kamati ya Zitto kuruhusu, sasa suka au unyoe lakini huwezi kubadili ukweli kwamba na Wapinzani wanahusika!!

Le Mutuz

Zitto huyu huyu mbunge wa mahakama?

Le Totoz bana, acha masikhara!
 
Kwani pesa za EPA zilirudi??

Tuliwachimba bit haswaa wakarudisha halafu tukawasamehe! JK na chama lake bana full kuvunja katiba na tunawapigia makofi. Tuu..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
- Kama mwananchi wa Tanzania, nimeshitushwa sana na habari za pesa zilizotumika kukarabati Bunge kwa ajili ya Bunge la Katiba, siamini kwamba hizo pesa ni kweli zimetumika kukarabati tu.

Kwa maoni yangu, hizo pesa kama kweli zimetumika basi zingeweza kujenga bunge jipya pembeni na bunge la sasa unless kuna something I am missing on the issue.

Mimi nadhani hizo pesa ni nyingi mno, zinahitaji kutolewa maelezo na wahusika au kama humu ndani kuna wasomi wa ujenzi wanipe darasa kidogo, kwani siaamini kama ni kweli tumekarabati tu bunge kwa Billioni 8.2!

Le Mutuz in Lagos.

Mkuu naungana na wewe kuna harufu hapo yaani kuweka viti na mic tu hapana nchi hii tunataniana sana
 
Malecela.jpg He he heee heeeeeeeee.
 
bei mbaya,hii ndio tanzania kila sehemu ni cha juu na uongozi umefanywa biashara,watu wanataka kuwa kama bakhresa kisa wamekuwa viongozi,katibu wa bunge na bwana Lukuvi hii inawahusu sana
 
unaashangaa serikali yako unayoishabikia?
wangekaa ukumbi wa Chimwaga tusingepata katiba mpya? au wangekaa pale karimjee tusingepata katiba mpya?
tanzania tuna watu na viatu, hawafikirii uchumi ukoje, hawawazi hali ya sasa ya maisha ya watanzania
hizo hela zingejenga hospitali nzuri au ingeagiza hata mashine za CT scan kwa hospitali kadhaa nchini
lakini kwa vile afya na elimu sio priority zetu ni ukumbi na posho zaidi ndio tunawazia..
wananchi nao wameleweshwa wimbo wakidumu chama cha mapinduzi,hawajaleweshwa nyimbo za kuhoji maendeleo au ubadhilifu wa kodi zao...tutaendelea kuwapa vyeo watu wasio na upeo wa kufikiri na maisha hayatabadilika miaka nenda rudi....Mungu iokoe tanzania,
 
- Kaka ni kutumia akili japo kidogo tu then utajua kwamba hizo zilizotumika ni pesa zilizoidhinishwa na Bunge wakiwemo Wapinzani,

Le Mutuz

Mwili mkubwa akili kichwani hakuna kama hii budget ili idhinishwa na bunge then mchanganuo upo hii figure haikutoka hewani mtafute waziri wa fedha akupe breakdown usituletee machozi ya mamba hapa we mkuda.
 
Back
Top Bottom