FB_IMG_1595262672040.jpeg
 
Haya nimeona mwenyewe Clouds tv wanatangaza Kigamboni now Ndugulile mshindi kapata kura 190 , Makonda 122 shughuli imekwisha tuhamie Kawe sasa! Huwezi kushindana na baba yako Makonda wamekuingiza choo cha kike wote waliokushawishi ujinga!!

Mcheza sinema za uchi Gwajima nae apewe za uso hii Kawe sio sisiem ya wapumbavu ni sisiem makini na imara!
Demu wake Sara Msafiri kamdanganya ha ha ha
 
Dr. Faustine Engelbert Ndugulile ashinda kura za maoni za ndani ya CCM jimbo la Kigamboni jijini Dar es Sakaam.

Kura za maoni za wajumbe halali zilikuwa 399 hakuna kura iliyoharibika na Dr. Faustine Engelbert Ndugulile amefanikiwa kupata kura 190 za wajumbe hao wa mkutano wa wilaya ya Kigamboni..
 
Back
Top Bottom