Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

Pamoja na Mh. Sumaye kujiunga CHADEMA ili kuhalalisha ukazikazini wa CHADEMA, ila mpaka sasa mgombea wa CCM anaongoza Kwa zaidi ya 70%, stay tuned wadau

Hongereni sana naona hapa kazi tu.Lazima mkajipongeze si mchezo.Kushinda lema duh.Ndiyo sababu Ba Lubuva na Mkapa wako huko wakisheherekea ushindi wa CCM.
 
Mbunge wetu shupavu, wanainchi wa Arusha tunakaribia kukurudisha tena bungeni, mpaka sasa matokeo ya awali vituo vingi vinaonyesha unaongoza kwa kura nyingi, watu wameitika wito wako uliowaomba wakurudishe bungeni,
Ila cc wanainchi tunakutaka sasa ututendee haki yetu, utufanyie kazi za maendeleo, uwe mfano kwa wabunge wengine, uandike historia km vile marehem (Filikunjombe)
Acha bifu na viongozi wenzako,
Acha kujikita zaidi kwnye propaganda za siasa na ututumikie wanainchi bila kujali itikadi zetu,
Acha kauli zisizo na maana bungeni ili uendelee kuwa mueshimiwa,
Kuwa mbunifu wa maendeleo kwa wanainchi wako wa Arusha,
Weka ujana pembeni kwa vile uongozi ni hekima,
Mungu akubariki sana mbunge wetu shupavu, jasiri, mtetezi wetu

Miaka yote aliyokaa bungeni amesaidia nini Arusha? Chaguaneni na ukanda wenu!
 
Miaka yote aliyokaa bungeni amesaidia nini Arusha? Chaguaneni na ukanda wenu!

Hata Monoban ni wa ukanda wa kaskazini... Wakati ule mgogoro wa umeya ulimcost... Sasa tumempa na halmashauri ashindwe mwenyewe
 
Pamoja na Mh. Sumaye kujiunga CHADEMA ili kuhalalisha ukazikazini wa CHADEMA, ila mpaka sasa mgombea wa CCM anaongoza Kwa zaidi ya 70%, stay tuned wadau

Nasikia alikuwa anachungulia mbunye yako akajikwaa akaangukia pua?
 
hatukubali majimbo yote yatakayoludiwa chaguzi ndogo Arusha kula zitapigwa na wagogo dodomaaaa watawawakllisha watu wa Arusha hatutawaluhusu tena kuludia chaguzi uko nyie ni wezi sana wa kula......

Na wasiwasi sana na uraia wako. hujui kiswahili dah,
yatakayoludiwa-----yatakayorudiwa
kula -----Kura
Hatutaluhusu -----Hatutaruhusu
kuludia-------------Kurudia
 
Back
Top Bottom