Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

Wakuu,

Natanguliza salamu , huu ni zaidi ya uchaguzi, ni zaidi ya kuchagua, tupeane taarifa kuanzia maandalizi, ulinzi wa vituo pamoja na mwamko wa wananchi , hatua kwa hatua mpaka matokeo yatakapotangazwa.

Nakala kwa Crashwise na Ephata Nanyaro

====================

Lema kwa Arusha ni zaidi ya oxygen
 
Kitakachompa kibri lema zaidi ni kuwa wanavyuo wengi wa arusha walk hi and in is via arusha na sasa wamesharipoti vyuoni. Kama pale IAA , SAUT na arusha univ. Matokeo yatakuwa Nouma!!
Uchaguzi ungefanyika wkt wa vuguvugu la Lowassa Oktoba ile basi Lema angepata zaidi ya 90% ya kura zote!Monaban kafaidika sana na low turnout ya wapiga kura sababu ya kushindwa kwa Lowassa

Haiwezekani chama chako kipate zaidi ya 97% ya viti vyote vya udiwani lkn eti Mbunge wa chama hicho hicho apoteze kiti!Just a common sense tu!!
 
Back
Top Bottom