Yaliyojiri Mkutano wa M4C Bukoba

Ndugu wana JF, leo nimeshuhudia maelfu ya wakazi wa Bukoba wakifurika katika viwanja vya Uhuru Bukoba. Wapenzi wa CDM wamejitokeza sana, mjini hakukuwa na pakupita. Kwa hali hii Nnape lazima abaki pekee yake na CCM.

Nini kimejili? watu wamejitokeza sana.., then?
Nani kaongea? kaongea nini?
Weka picha watu waone
mabango yamesomekaje?

Give us Sufficient information NOT half cooked!!
My Best
Quality
 
mwache abaki peke yake
bb
 
CCM imelala salama, amini mkuu, ukombozi umekwishafika. Ambaye hajaingia ndani ya safina la CDM/M4C hakika ameangamia.
 
Nini kimejili? watu wamejitokeza sana.., then?
Nani kaongea? kaongea nini?
Weka picha watu waone
mabango yamesomekaje?

Give us Sufficient information NOT half cooked!!

My Best
Quality

Picha hazina maana sana. La msingi ni kwamba watu wameonesha mwitiko mkubwa sana juu ya campaign ya M4C. Kadi za CCM zimerejeshwa na maneno kibao!
 
Picha hazina maana sana. La msingi ni kwamba watu wameonesha mwitiko mkubwa sana juu ya campaign ya M4C. Kadi za CCM zimerejeshwa na maneno kibao!

If you are in Bukoba, give us data and pictures. Unaweza kusema picha siyo muhimu lakini ukweli ni kuwa Picha ina maana sana. Kadi ngapi za CCM, CUF, TLP zimerejeshwa? Kama hauna data, where is your power to speak?

Kama hauko huko, mwulize Mh. Lwakatale (mwenyekiti Mkoa) alikuwepo hiyo jana akupe.
 
Kwani kuna nini mbona mikutano inakuwa mingi sana??

Tunaelimisha umma. tarehe 10 Juni, tuna mikutano ya hadhara tena Rulenge na Benako kote huko ni wilayani Ngara. Tunahitaji mikutano kama hiyo nchi nzima. Ili hata waliolala, waamke. waelewe haki zao!
 
Back
Top Bottom