Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Zitto akishashinda utasikia makamanda wakianza kutokwa povu ooh Jaji wa CCM lazima hukumu iwe upande wa zitto.
 
Ukitaka kujua up.uuzi wa chadema ni mambo kama haya,

Wewe ni kama nani ndan ya chama hadi ujivishe majukumu ya kuleta updates official za chama ili hali Kurugenzi ya Habari NA Tumaini Makene wapo??

Muda si mrefu atakuja kikaragosi mwenzako saa nane kujivisha majukumu haya haya,na huku hii saccoss yenu ikikaa kimya kabisa kuhusu hilo,

Unajua maana ya updates??na kwanin unachagua upande??hizi ni updates au maagizo ya yule padre muhubiri wa gongo??

Hii ni dalili tosha kabisa ya mtu aliekosa kazi,kila siku unajipa majukumu yasiyo yako na yasiyo kuhusu huku ukitumia utapeli wa jina la nyerere hili halivumiliki na linaleta kinyaa kuliona,

Unatoa updates huweki picha huwek vithibitisho,unataka watu waamin tuh kuwa wewe umesema??wewe ni nani hasa??

Hiki chama kina mambo ya kitoto na ya ajabu ajabu,thanks god muda umewahukumu mapema hata kabla ya hiyo 2015,mwenye macho haambiwi tazama kila mwenye akili timamu keshafaham uwendawaimu mlionao,,

YERICKO MLA MBWA,JITUME KUTAFUTA KAZI,MUDA UNAKUACHA HUU,CHADEMA NI MTAJI WA WATU,NA WEWE HAPO ULIPO HUFAMIKI,UNAJIPOTEZEA MUDA NA KUJIDHALILISHA,

THANKS GOD SACCOSS HII INAKUFA WAKATI MUAFAKA KABISA
Wewe tapeli la gesi mabomba yanaenda na gesi itatoka nyambaf mkubwa unafikiri hiyo gesi ni mali yenu?
 
mi nawashangaa nyie ccm..hiv hata zito akishinda leo mnadhani ana chake pale chadema...tumieni akili....zito anapoteza muda tu chadema imeshamtapika
 
Misukule ya Chadema inajazwa upepo kuwa Rostam na Mkono ni mafisadi halafu Mbowe ambaye mnasema anataka kuwakomboa anakwenda kuvuta mpunga.
 
Mashabiki na wapenzi wote wa Zitto zuber kabwe tunaomba tusogee kwenye viwanja vya mahaakama kuu, tuondoke na shujaa wetu. Msiniulize huu ujasiri nautoa waap, lakini zipo taarifa njema chini ya mbachao..

Mkuu tukiacha siasa na ID za kuchonga humu JF, Eti jina lako ni "KISABENGO"
 
Siasa za tanzania raha sana.....!!
Kiukweli zzk ametufanya wengi tu dought credibility ya chadema ,kwa kutumia tragedy ya Rostam,Nkono,sumaye,NHC kwa mbowe!!
Au ndo maana Mbowe anasisitiza kuwa wanaweza kumsajili Sumaye?
Ipo siku majibu ya maswali yote haya yatajipa hata kama zzk akifukuzwa cdm
Ivi akifukuzwa we inakuma nini?
 
Naanza kuamini sasa kuwa chadema ni chama cha kikanda, kidini sio na wana malengo yao ambayo si mazuri kwa Taifa
 
sixgates nadhani ushapata nakala ya kukumu kabla haijasomwa. Hongera
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom