Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,425
- 406
Sawa mkuu nimekusoma, ila ulipiga kura ukiwa form two!!? Anyway, hoja yangu ni kwamba tusiamini kila lisemalwo kuhusu kifo cha Wangwe(R.I.P). Inaweza ikawa ilikuwa ajali ya kawaida tu au ilisukwa na watawala ili kuvuruga chama ( kumbuka mahojiano ya Dr.ulimboka na watesaji wake). Ina maana leo hii EL akipata ajali na kufa ( Mwenyezi Mungu aipishie mbali) utawalaumu akina Sita & Co kuhusika moja kwa mbona kwa kuwa nao wanataka Urais?? Tutafakari Magnificent.Hapana Mkuu,kwetu ni TARIME na Chacha Wangwe(R.I.P) alikuwa mbunge wangu niliyemipgia kura wakati ule nakumbuka nilikuwa kidato cha pili! alikuja shuleni kwetu kuomba kura na alifanyiwa zengwe na Headmaster asiongee na wanafunzi lakini tulimfuata shule nzima na headmaster akabaki ameduwaa!
Hizi chokochoko ndani ya Chama zimenikumbusha muda mfupi kabla hajafariki alikuwa ktk harakati za kugombea uongozi ndani ya chama na yaliyomkuta kila mtu anayafahamu!
Tatizo kuna watu humu kazi yao ni kushadadia tu...mimi nimekuwa mwanachama wa chadema tangu nikiwa Form One mwaka 2004,Migogoro ndani ya chama inaniuma sana na kunikatisha tamaa jamaa yangu!