Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
tuliishasema, ccm ndio wanaoharibu amani ya nchi hii, sasa wanajidhihirisha wazi wazi, wameenda kufanya nini mahakamani na kuanza kuimba nyimbo zinazohusu Zitto, na hao cuf wanafata nini huko, tukisema cuf ni ccm B mnabisha, sasa mnajidhihirisha wazi mbele ya umma, fahamuni ya kwamba hamshindani na CHEDEMA, bali mnashindana na umma wa watanzania, kamwe hamtaweza.
 
Ukitaka kujua up.uuzi wa chadema ni mambo kama haya,

Wewe ni kama nani ndan ya chama hadi ujivishe majukumu ya kuleta updates official za chama ili hali Kurugenzi ya Habari NA Tumaini Makene wapo??

Muda si mrefu atakuja kikaragosi mwenzako saa nane kujivisha majukumu haya haya,na huku hii saccoss yenu ikikaa kimya kabisa kuhusu hilo,

Unajua maana ya updates??na kwanin unachagua upande??hizi ni updates au maagizo ya yule padre muhubiri wa gongo??

Hii ni dalili tosha kabisa ya mtu aliekosa kazi,kila siku unajipa majukumu yasiyo yako na yasiyo kuhusu huku ukitumia utapeli wa jina la nyerere hili halivumiliki na linaleta kinyaa kuliona,

Unatoa updates huweki picha huwek vithibitisho,unataka watu waamin tuh kuwa wewe umesema??wewe ni nani hasa??

Hiki chama kina mambo ya kitoto na ya ajabu ajabu,thanks god muda umewahukumu mapema hata kabla ya hiyo 2015,mwenye macho haambiwi tazama kila mwenye akili timamu keshafaham uwendawaimu mlionao,,

YERICKO MLA MBWA,JITUME KUTAFUTA KAZI,MUDA UNAKUACHA HUU,CHADEMA NI MTAJI WA WATU,NA WEWE HAPO ULIPO HUFAMIKI,UNAJIPOTEZEA MUDA NA KUJIDHALILISHA,

THANKS GOD SACCOSS HII INAKUFA WAKATI MUAFAKA KABISA

sasa kinyaa una mweleza yericko akusaidiaje ndiye aliyekupachika mimba..
 
Last edited by a moderator:
Wakuu tupo ndani ya viunga vya Mahaka kuu tayari kwakusikiliza uamuzi wa Pingamizi la Zitto (aliyekuwa mwanachama wa Chadema) dhidi ya cc ya Chadema.

Ulinzi leo unaimarishwa sana, magari ya polisi manne yakiwa na askari waliovalia kikazi wamejipanga kivitendo,

Makamanda wachadema wameshaanza kuwasili

Tutakuwa live kwa kila neno la Jaji Utamwa

UPDATES:

Wakuu kuna kikundi cha vijana (kile cha juzi) kimeingia na gari suzuki cary no T 2652 ADG Kiongozi wa kikundi hiki nimemfahamu ni maarufu kwa jina la Gash. Wanaimba nyimbo za kumuunga mkono Zitto

"Tunataka mtoto wetu Zitto x 2"

Makamanda wa chadema wanazidi kuwasili

Kundi lingine la UVCCM tawi la kariakoo linawasili likiongozwa na katibu wa tawi hilo, hawa nao wanaimba nyimbo za kumuunga mkono Zitto,

UPDATES

Kambaya wa CUF nae anaingia na kundi lake, wamesimama kwa mda Hyatty Hotel,



Sasa ukweli wa kesi hii unajiweka wazi,


UPDATES

Naaam wamechaguliwa watu maalumu wa kuingia mahakamani, hii ni kwasababu ya uwingi wa na kudhiti kundi la wahuni waliokusanywa na UVCCM na CUF kutoka vijiwe vya Kariakoo, Buguruni na Temeke,

Polisi wameamua kuamuru kila anaeingia ndani lazima aandikishe jina, na na viongozi wa chadema wa matawi wanasimamia kuwatambua watu wao,

Vijana wa Zitto wameambiwa wakae ng'ambo ya barabara kule kabisaaa,

Kwaasubuhi hii nalipongeza jeshi la polisi kwa utaratibu linaouchukua,

Kwa sasa tupo ndani ya ukumbi wa wazi wa mahakama,


Nimearifiwa na kuwa uamuzi utaanza kusomwa saa nne

Zitto amewasili, hehee kapitishwa mlango wa nyuma unaotumiwa na majaji hivyo kanusurika zomea,


UPDATES

Bado tunaendelea kusubiri jaji afike na suala la uamuzi wa shauri hili uendelee,

Nje ya mahakama ng'ambo ya barabara wale vijana (vibaka) walioandaliwa na CCM na CUF kwaajili ya kumuunga mkpno Zitto wanaendelea kuimba nyimbo,

Naaam sasa tumeambiwa tuingie kwenye chumba cha hukumu,


Vuteni subira,
maji taka
IMG_3494.JPG IMG_3494.JPG
 
Hata 2015 wenzenu watakapo ingia ikulu mtalalamika kuwa wamesaidiwa na CUF na vyama vingine,maana nyie hamkubali kuwa hata ndani ya chadema zitto anawashabiki pia.
endeleeni kuwa na fikra hizo kila wakati na mkidhani kuwa ndani ya chma chenu wote hawampendi zitto,mtakuwa mnafanya makosa makubwa sana ambayo mwisho wa siku tutajasikia kelele na lawama mkizipeleka kwa ccm,cuf na nccr mageuzi.
 
Mkuu naelekea mahakamani, ukiona hivyo jua hili pingamizi tushalishinda. Mark my words..kama Zitto asiposhinda hili pingamizi naondokaa JF, au nipigwe ban nasemaa.

Tupo na ari sana,wiki inaanza vizuri tunakwenda kurudi na msafara wa Zitto kabwe na tutahitimisha safari pale temeke mwisho.

Mkuu usipoondoka Jf utakuwa Kisebengo tukubaliane kabisaaaaa
 
ZZK kesho utamsikia ameapa tena mbele ya kamati ya maadili hajui alichokiandika facebook juu ya mbunge mkono na mbowe kwasababu alikifuta fasta, nimeishamuona mbabaishaji kaishiwa.

Ndio anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe hivyo...
 
may this saga REST IN HELL tuendelee na mambo ya kujenga taifa.
 
siasa bana,,, wakati namfahamu zzk 2006 du alikua kiboka leo ndo hvi anasulubiwa co..tini
 
by ndumyana;

https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-frc3/1546180_10203158027257844_935925245_n.jpg

Mkuu nimecheka sana aisee..

Jamaa anapiga chabo balaaaaaaa!

Kajamaa ni kabingwa kwa haya mambo toka kitambo saaaana....
 
Mkuu, I was mental/physical fit wakati naisoma comment yako, japo ulificha dhima yako ila hoja yako ilikuwa tukubaliane na uamuzi wa mahakama. Na kiuzoefu mahakama zimekuwa zikitumika kuonea watu hapa nchini na kukandamiza upinzani ili ccm itawale daima.

Hoja yangu ni kuwa kama ccm ndio iko nyuma ya ZZK, basi tunapaswa kujua kuwa yanayoendelea ni ya ccm na Zito ni Kikaragosi tu kilichowekwa na ccm na hivyo basi ccm wanaweza kutumia mwanya huo kucheza na mahakama uku tukibakia kumlaumu Zito wakati yeye ni Kikaragosi tu.

Mkuu Umetoa hoja nzuri!

Hapa ni ZZK(Ccm) na Chadema. Na usitegemee Km hukumu kwa upande Wa Cdm itakua nzuri Leo! Dola inafanya kz! Cdm wako na adui ndani ya Cdm na nje na adui Yao mkubwa ni ccm!
 
Naona TL wamempunguza speed jana ,kumbe dume zima linatumiwa?umasikini mbaya sana,Mbona TL ni wakili maarufu hivyo then asiyesoma mbowe anakuingiza choo cha kike?
inaelekea ni mzuri sana kwa mipasho huoni MM alivyojidhalilisha anapigwa chini anavimba juu yeye anamshambulia TL au AM?? unaulizwa swali na mtu humjibu unaanza kutoa mipasho kama uliyajua hayo tangu 2005 ukawa kimya si ni un.....fiki!
 
Ukitaka kujua up.uuzi wa chadema ni mambo kama haya,

Wewe ni kama nani ndan ya chama hadi ujivishe majukumu ya kuleta updates official za chama ili hali Kurugenzi ya Habari NA Tumaini Makene wapo??

Muda si mrefu atakuja kikaragosi mwenzako saa nane kujivisha majukumu haya haya,na huku hii saccoss yenu ikikaa kimya kabisa kuhusu hilo,

Unajua maana ya updates??na kwanin unachagua upande??hizi ni updates au maagizo ya yule padre muhubiri wa gongo??

Hii ni dalili tosha kabisa ya mtu aliekosa kazi,kila siku unajipa majukumu yasiyo yako na yasiyo kuhusu huku ukitumia utapeli wa jina la nyerere hili halivumiliki na linaleta kinyaa kuliona,

Unatoa updates huweki picha huwek vithibitisho,unataka watu waamin tuh kuwa wewe umesema??wewe ni nani hasa??

Hiki chama kina mambo ya kitoto na ya ajabu ajabu,thanks god muda umewahukumu mapema hata kabla ya hiyo 2015,mwenye macho haambiwi tazama kila mwenye akili timamu keshafaham uwendawaimu mlionao,,

YERICKO MLA MBWA,JITUME KUTAFUTA KAZI,MUDA UNAKUACHA HUU,CHADEMA NI MTAJI WA WATU,NA WEWE HAPO ULIPO HUFAMIKI,UNAJIPOTEZEA MUDA NA KUJIDHALILISHA,

THANKS GOD SACCOSS HII INAKUFA WAKATI MUAFAKA KABISA

utakufa wewe na chadema utaiacha inadunda kama kawa,ujin..ga wako ndo umaskini wako!
 
Last edited by a moderator:
Bora kinakufa mapema hii 2014,,wangefika 2015 hawa wachaga na saccoss yao wangesumbua sana

Wana laana ya nyerere hawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom