Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    13.9 KB · Views: 1
CCM Must Go
Jiandae tu jumatano kupotea hewani kama ukivyopotea muda mreefu humu
Hii ya sasa itakuwa kama ya ndege ya Malaysia iliyopotea hewani utapotea kimoja baada ya watanzania kumuonyesha cha mtema kumi huyu mbelgiji Tundu Lisu na Chadema lake
 
Anapitia pale RUANGWA kuwaona wale wazee wa kazi waliompulizia MOSHI MWEUSI MEKO WENU
Kwa Membe ambaye Lissu kampora ugombea uraisi wake ? Mwambie hivi amsalimie member.Kwa hiyo anaenda kuringishia Membe kuwa Mimi ndie Lisu niliyekupora ugombea uraisi?
 
Kwa Membe ambaye Lisu kampora ugombea uraisi wake ? Mwambie hivi amsalimie member.Kwa hiyo anaenda kuringishia Membe kuwa Mimi ndie Lisu niliyekupora ugombea uraisi?
Muulize MEKO wenu mbona kagoma kuja huku kwetu NTWAAALA bah!
 
Tukutane hapahapa kuanzia tarehe 28,29,30 kupeana pole na kupongezana
 
Vita yetu ya Kwanza kwa hizi siku mbili ni kufichua VITUO HEWA kote nchini......

Safari hii ni LAZIMA waumbuke hawa jamaa.... Mungu yupo upande wetu kwenye kila hatua.
Hii ndo vita yenyewe ndani ya siku hizi zilizobaki
 
Back
Top Bottom