mwakilishi wa CCM? Lipumba, je kuna mwakilishi wa wananchi (Chadema)????
Celina Kombani naye yupo!Makamba alipewa taarifa ila amesema yuko arusha kwa shughuli za chama.
Mnyika yupo,namuona mtu kama celina kombani
Ahahahahahaah! Alisema eti alikuwa anatania!Nasikia celina kombani yupo, sijui ataongea nini maana alishasema hakuna cha katiba mpya