Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Kitila Mkumbo

JF-Expert Member
Feb 25, 2006
3,354
1,943
Tunapenda kuwataarifu wananchi ambao hawataweza kufika CKD kuwa kongamano la katiba kesho litaonyeshwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha ITV. Tunawashukuru sana ITV kwa moyo wa uzalendo.

Karibuni

Kitila
 
Ahsante sana Dr. Mkumbo kwa taarifa.

Hili kongamano litakuwa muhimu sana kwa Watanzania wote wanaoipenda nchi yao. Ninaomba sana ndugu zangu watanzania tusikose kufika au kuangalia kwenye stesheni ya ITV kwani MAFISADI wa CCM wanataka kuiteka hoja ya KATIBA MPYA na kuifanya kichama kwa maslahi yao binafsi na chama chao.

Dr. Mkumbo wananchi wanaomba muda kamili ili waweze kuja hapo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam au kuangalia kwenye runinga (ITV).

Tunaomba pia kongamano hili litangazwe kwenye vyombo vya habari ili watu wengi zaidi wapate taarifa.
 
Dr Mkumbwa mimi nashukuru sana kwa taarifa,lakini kuna kitu muhimu sana umekisahawa,je litaanza saa ngapi?ili tuweze kujipanga na kuhudhuria!!
 
Tunapenda kuwataarifu wananchi ambao hawataweza kufika CKD kuwa kongamano la katiba kesho litaonyeshwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha ITV. Tunawashukuru sana ITV kwa moyo wa uzalendo.

Karibuni

Kitila
Dr tunapenda kujua muda itaanza saa ngapi tafadhali
 
wadau msisahau leo jumamosi kutakuwa na mjadala wa katiba pale nkrumah kuanzia saa mbili. wazungumzaji wakuu ni prof shivji na jenerali ulimwengu. msikose njooni tujadili hatima ya taifa letu.
 
wadau msisahau leo jumamosi kutakuwa na mjadala wa katiba pale nkrumah kuanzia saa mbili. wazungumzaji wakuu ni prof shivji na jenerali ulimwengu. msikose njooni tujadili hatima ya taifa letu.

kuna chombo chochote cha habari kitaurusha hewani?
 
Watanzania leo ni siku ambayo kuna mdahalo wa kujadili katiba ya jamuuhuri ya muungano katika ukumbi wa nkuruma chuo kikuu cha dar es salaam.

Mpaka hivi naona waandaaji wanakamilisha kufunga mitambo na kuanzia saa nne tunategemea waongoza mdaalo amao ni Jenerali Ulimwengu na Profesor Shivji wataingia.

WATU WOTE WANAKARIBISHWA KWENYE MDAHALO HUU MUHIMU. Nadhani mlimati TV watarusha live, hivyo kama upo nyumbani unaweza kufuatilia mdahalo huu.
 
Nitafurahi kama Redet watafukuzwa hasa dr.bana. au atakubali aelimishwe maana huyo ni takataka tu apitishe maoni yake kwa rais wake.
 
2habarishane yatakayojiri huko si unajua wengne tunakaa mikoani mlimani tv hakuna
 
Tundu lisu, lipumba, waziri wa sheria na katiba wapo tayari hapa mjengoni. Mjadala kuanza punde
 
Mkinga ndani ya mjengo na shangwe za kutosha toka wanafunzi wa UDSM, WAZIRI anatia huruma. Shughuli ndo inaanza Dr. Kitila Mkumbo analianzisha. Mwenyekiti Dr. Kibogoya anafungua kongamano.
 
Itv wameanza kurusha mambo...Lipumba na Lissu ndani ya nyumba!! CCM wametoa udhuru!!!
 
Mwanasheria mkuu wa serikali amekacha anajifanya anaumwa, na mwakilish wa chama cha mapinduzi CCM ametoa udhuru pia kuwa amepangiwa kazi ya kufanya Arusha hapo jana. Mbona wanakacha?!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom