Wanawake laki moja waandaa kongamano kuelezea fursa za utalii

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
305
519
Nangasu Warema, Mwenyekiti Msaidizi wa Wanawake laki moja, amasema taasisi ya Wanawake laki moha Wanaojishughulisha na kumkomboa Mwanamke kiuchumi kwa kutumia Nyanja mbalimbali za kiuchumi zilizopo nchini Pamoja na kutoa Ushauri au Mafunzo kwa Wanawake kuepukana na ukatili wa kjinsia na Umasikini.

Akiongea na Wandishi wa hbari Mkoani Dar Es Salaam leo tarehe 12 Septemba 2022 amesema, “Wanawake Laki moja 15 Oktoba 20122 Katika Ukumbi wa Serena Hoteli, tumeandaa kongamano kubwa sana, ambalo sina uhakika kama limeshawahi kutokea, kongamano la wanawake na Utalii. Tumeona hivi karibuni utalii umekuwa sana na Idalii ya takwimu ya Serikali imetueleza kwamba Utalii umekuwa kuanzia mwezi January mpaka julai kwa 62.7%. Sisi tumekuja kuwaeleza wanawake mbalimbali, fursa zilizopo kwenye Sekta ya Utalii. Ni Dhahiri kuwa asilimia kubwa ya watu waliopo kwenye Sekta ya Kitalii ni Wanawake.

Utalii ni Sekta mtambuka ambayo imebeba mambo mbali mbali. Kama watu wa Afya, Marubani, Mama Ntilie, Wasafirishaji nk, wote wanaguswa na Sekta ya Utalii”. Amesema Nangasu.
Nangasu aliambatana na viongozi mbalimbali wa Wanawake laki moja akiqwemo Theresa Mgobi ambaye ni mshauri wa Utalii na uchumi katika Taasisi ya Wanawake laki moja. Theresa Mgobi amesema Siku hiyo kutauwa na Mafunzo ambayo Mwanamke yataweza kumsaidia kiuchumi kutokana na utalii na kuepukana na Umasikini. Mgobi alizitaja fursa hizo ambazo zipo kwenye Sekta ya Utalii ni Pamoja na;

1). Tehema na Utalii. Watalii wanaokuja Tanzania wanapata taarifa kwa kutumia simu/ Mtandao. Akishafika anatumia mtandao kufika aendako. 3.1% tu ya Watalii wanaofaidika na mtandao Tanzania.
2). Mikutano na Makongamano, ni moja ya vivutio vya Utalii kama Kombe la Dunia na Mikutano mbalimbali ambapo Wanawake wanaweza kutoa huduma za Chakula cha kitamaduni, Huduma, Usafiri nk

3). Utalii wa Fukwe mfano ya bagamoyo. Wanawake wanaweza fanya shughuli za Chakula nk.

4). Utalii wa kitamaduni. Tanzania kuna Makabila mbalimbali ambayo wanaweza anzisha Utalii wa Kitamaduni. Mabenki wanaweza kusaidia katika kusaidia Wakina Mama wenye maono ya Utalii

5) wigo wa Utalii wa ndani haujawa Mzuri, mfano: Mtu akifika Mwanza, aambiwe kupitia simu zao Vivutio vya Mwanza badala ya Simba na yanga leo zinacheza
Wito umetolewa Wanawake wote wenye shahuku ya kujikomboa kiuchumi kujitokeza
IMG-20220912-WA0050.jpg

Theresa Mgobi kushoto akiwa na Nangasu Warema
 
View attachment 2354748
Theresa Mgobi kushoto akiwa na Nangasu Warema
Hao wanaingiza pesa sasa nyie wengine jiingizeni kichwa kichwa muone
 
Back
Top Bottom