Yaliyojiri: Kongamano la amani ya Tanzania - Julai 28, 2013

Huyu jamaa anaitwa IDD MAJUTO nashindwa kumuelewa sana maana anashindwa kuhusisha siasa na utawala...anatumia nguvu nyingi sana katika kuwasilisha mawazo yake kila anapopata nafasi kwenye mijadala...hawa ndio wanaharakati lakini uwezo wao duh!!!! Je, wanaharakati ndio watakaoleta Neema? Siasa Ni maisha na sharti tuchague wana siasa makini na tuwafahamu kiundani zaidi...
 
Nimempenda Lilian Wasira,ameongea kwa hisia sana. Anasema wanaume msiwe waoga!!!!! Wananchi tutumie silaha ya kura kuiondoa serikali iliyochoka
 
naamini umesikia vilevile lissu alivyo mchana mwl nyerere. kasema kipindi chake kilitawaliwa na ubabe, udikteta na mauaji. tuko pamoja?

Nyerere hakuwa mtakatifu, Ni binadamu pia. Kwa nn mnajipima sana na Mwalimu enyi vizazi vya Chipukizi? Ulinganifu huu mnaoufanya nn agenda yenu?
 
Teh teh teh, CHADEMA walimpokea huyu dada wakidhani wamepata JEMBE kumbe ni mtupu tu. CCM ilimpiga chini kwenye nafasi ya UWT lakini CHADEMA ina muona lulu.
 
Nimempenda Lilian Wasira,ameongea kwa hisia sana. Anasema wanaume msiwe waoga!!!!! Wananchi tutumie silaha ya kura kuiondoa serikali iliyochoka
hata wanawake wasiwe waoga mkuu. kwenye mapambano tunawaweka mbele maana kwenye madaraka wanataka 50/50
 
Huyo Lilian Wasira ni noma ile mbaya. Ni jasiri sana. Inaonekana haipendi kabisa CCM ya sasa na serikali yake.
 
Back
Top Bottom